Nimeletewa bill ya maji isiyo sahihi. Naomba msaada kwa mwenye Uelewa

Nimeletewa bill ya maji isiyo sahihi. Naomba msaada kwa mwenye Uelewa

Kama walivyosema wadau hapo juu usipende kufungua bomba hata kama maji hakuna Maana hewa inahusika kuifanya mita izunguke.

Zaidi pia jenga mazoeya wewe mwenyewe kila siku tano kupita kuchungulia mita kuona mabadiliko yanaendana na uhalisia au laaa
 
MTOA MADA ZINGATIA HAYO.
 
Kichwa cha habari Chahusika, Salam kwenu GT wote..

Niende moja kwa moja kwenye Changamoto yangu.. Niliunganishiwa Maji mnamo tarehe 08/03/2025 na baada ya hapo Nimekuwa nikitumiwa bill baada ya msoma dira kupita

Mwezi wa kwanza Maji yalitoka mfululizo kiasi na bill ilipokuja ni kuwa nilitumia unit moja pekee nikalipa kama 1680 hv

Mwezi wa tano napo nikatumiwa bill ikaja units 2 nikalipa 3338 hv

Mwezi wa Sita ukafika, maji yakawa hakuna nadhan kwenye mwezi kama yalitoka Sana basi ni masaa mawili then yakakatika na nimenunua tank la maji ili yakitoka nijaze na toka nimelinunua haijawai kuingia hata tone moja maana yakibahatika kutoka hayana pressure ya kupata kimo cha tank litre 5000L .

Sasa niende kwenye Changamoto yenyewe ni bill ya mwezi wa saba ambao kwa mwezi mzima maji yametoka Mara moja pekee na baada ya kuchota ndoo kama 12 tu Yakakatika..

Msoma dira kaja jumapili iliyopita ya tarehe 10/08/2025 alituma SMS ya kusema msoma dira amepita nami sikuifuatilia Leo imetumwa SMS ya kunitaka nilipe naangalia nakuta ni elf 53748.16/= kuwa nimetumia units 32 kutoka 5 mpaka 37.NIMEWAPIGIA WAMENIAMBIA NISOME METER YANGU NAISOMA NI KWELI IMEANDIKA HIVYO NA MAJI HAYAJATOKA MWEZI MZIMA HUU.. Kuna hatua zozote naweza kuzifuata ili kwanza meter YANGU isome sahihi maana nahisi imeshachezewa na huyo msoma dira yamkini yangekuwa yametoka na tank limejaa ningesema labda walikuwa wanauza..

Naomba kuwasilisha yani sielewi natokaje kwenye ili la kuibiwa 53k . Msaada wapendwa
Nilikua kwenye nyumba moja ya kupanga pale Moro kichangani, bill ilikua inaenda vizuri ghafla ikaanza kujidouble.
Mwezi huu ikija 20 mwez ujao inakuja 40 mwezi unaofuata 80.
Tukalalamika kwenye mamlaka wakasema watatuma fundi aje aangalie bill ikaendelea kuchanja mbuga na fundi haji fundi anakuja bill ishafika laki tatu wakasema tulipe nusu baada ya kubaini mita ndo yenye shida
 
Kama walivyosema wadau hapo juu usipende kufungua bomba hata kama maji hakuna Maana hewa inahusika kuifanya mita izunguke.

Zaidi pia jenga mazoeya wewe mwenyewe kila siku tano kupita kuchungulia mita kuona mabadiliko yanaendana na uhalisia au laaa
Thanks mkuu
 
Back
Top Bottom