Nimeletewa bill ya maji isiyo sahihi. Naomba msaada kwa mwenye Uelewa

Kama walivyosema wadau hapo juu usipende kufungua bomba hata kama maji hakuna Maana hewa inahusika kuifanya mita izunguke.

Zaidi pia jenga mazoeya wewe mwenyewe kila siku tano kupita kuchungulia mita kuona mabadiliko yanaendana na uhalisia au laaa
 
MTOA MADA ZINGATIA HAYO.
 
Nilikua kwenye nyumba moja ya kupanga pale Moro kichangani, bill ilikua inaenda vizuri ghafla ikaanza kujidouble.
Mwezi huu ikija 20 mwez ujao inakuja 40 mwezi unaofuata 80.
Tukalalamika kwenye mamlaka wakasema watatuma fundi aje aangalie bill ikaendelea kuchanja mbuga na fundi haji fundi anakuja bill ishafika laki tatu wakasema tulipe nusu baada ya kubaini mita ndo yenye shida
 
Kama walivyosema wadau hapo juu usipende kufungua bomba hata kama maji hakuna Maana hewa inahusika kuifanya mita izunguke.

Zaidi pia jenga mazoeya wewe mwenyewe kila siku tano kupita kuchungulia mita kuona mabadiliko yanaendana na uhalisia au laaa
Thanks mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…