The MaskmaN
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 350
- 764
- Thread starter
- #61
Natuma inbox uone ili utambue ukweli ni upi.Hapo nyumbani kwako hakuna nidhamu.Haeleweki baba ni nani na mwenye matiti nje ni yupi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natuma inbox uone ili utambue ukweli ni upi.Hapo nyumbani kwako hakuna nidhamu.Haeleweki baba ni nani na mwenye matiti nje ni yupi!
Biblia usiichukulie serious unajua duud alizin akampata selemanHuyo sio jini, ni binadamu wa kawaida tu, ila anaipima akili yako.
Biblia inasema AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA.
Utaharibu familia yako kwa ujinga na tamaa zako
[emoji16][emoji16]aisee sisi wanaume sisiNa wewe geuka 'jini' mkapekenyuane chini ya mbuyu
Hakutenda dhambi?Biblia usiichukulie serious unajua duud alizin akampata seleman
Ili tukushauri vizuri weka PICHA YA MBUSUSU tujue kama imeiva kwa kuliwa au badoHabari za humu JF
KAZI IENDELEE!!
Kiukweli mie sio muandikaji mzuri au mtu wa kuelezea jambo kwa urefu sana tena ki ustadi ila acha tu niandike mtajua namna ya kunielewa.
Nina miezi 6 toka mke wangu alete mdada wa kazi nyumbani baada ya kuona muda wetu wa kufanya au kutoa huduma kwa watoto wetu tukiwa nyumbani haututoshi.
Hivyo mam sapu akaamua kumuagizia jirani yetu aliyekuwa kaenda mkoani kwao kuwa akija amjie na mdada wa kusaidia kazi za pale nyumbani pindi tunapokuwa mahangaikoni.
FUPISHA STORY!!
Ndani ya miezi 6 yote hiyo nimekuwa nikitoka kazini huwa nawaletea vizawadi familia yangu ila kama binadamu huwa sisahau kumletea dada yetu nae zawadi either t-shirt or gauni ama bites bites hizi ili nae asijione mpweke pale home.
Toka huu mwaka umeingia nimeanza kushuhudia vituko vya huyu binti,umri ni miaka 22/23
VITUKO:
Nikiwa natoka asubuhi kwenda kazini (kawaida yake kuja kufunga geti) ,mke wangu yeye huwa anachelewa kutoka ila mie natoka mida ya alfajir sana...nina mkuta huyu binti katoka bila blauzi yani matiti yapo wazi[emoji848] na wala haogopi wala nini anafunga geti then anarudi zake ndani.
Nikiwa natizama mpira sebuleni mida ya usiku atatoka/kupita kuchukua maji kwenye friji ila "Shanga" zake kazitoa kwa nje afu kavaa kitaiti tu.
Kuna siku kanitumia meseji whatsap kuwa anaomba nikirudi nimjie na pedi/mkate kwa wadada[emoji848] sijakaa vizuri naona meseji ya image,kufungua kanitumia picha kunionesha "mbususu" yake ina damu kama ushahid kuwa aongopi ana bleed.
Baada ya masiku kadhaa kanitumia tena meseji kuwa nimepona shem,sijakaa vizuri picha kufungua "mbususu" imekauka kuwa ananiambia kapona[emoji848].
Sa zingine ananitumia meseji shem wahi basi kurudi nimekumic[emoji848].
Kubwa kuliko kuna siku kaniandikia shem nakuonea huruma sana, nahisi dada hakupatii na mwili wako huo...ebu jifanye kama umesahau chumba uje nikuoneshe dunia ya raha ipoje!! Tena nitakupa kitu najua hajawahi dada kukupa hata siku moja!
N.B
Haya yote yanatokea na kutumwa kwenye simu yangu sijawahi kumshirikisha au kumwambia mtu yoyote yule.
Mke wangu naamini nikimwambia hilo fasta atakimbilia kunishutumu na inawezekana kabisa aka conclude kuwa mie nalala na huyo binti.."NAMJUA MKE WANGU NDIO MAAANA NIMEKAA KIMYA MUDA WOTE HUO".
Nilipo sema "Jini" nikimaanisha balaa,shankupe,mzoga,mcharuko ama mapepe.
HUYU MDADA /BINTI HAKIKA MASHAALLAH AMEJUA KUWA BINADAMU KIMWILI HASWAA...NYUMA TURUBAI HAITOSHI KUFUNIKA MZIGO...YANI KIGOLI HASWAAA.
NISAIDIENI JAMANI NIMUEPUKE HUYU BINTI MAANA HII NI KESI.
Kula mzigo acha kuremba remba.Habari za humu JF

@MudawoteKula mzigo acha kuremba remba.
Hapana hilo sio jambo sahihi kwangu na kwako.Ili tukushauri vizuri weka PICHA YA MBUSUSU tujue kama imeiva kwa kuliwa au bado
Sawaa mkuu nimekuelewa,Sasa wewe kama baba kichwa cha nyumba unashindwaje ku deal na jambo dogo kama hili?
Unashindwa kujua kabisa kipi ni sahihi kufanya na kipi sio sahihi kufanya?
Kwa hiyo ushauri mwingi ukikutaka ukamtafune huyo dada wa kazi utaenda kumtafuna?
Come on wewe ni mwanaume na sifa ya kwanza ya mwanaume ni ku protect his family (family 1st no matter what)
Japo imekaa kama chai sababu dada wa kazi hawezi kua na confidence kubwa kiasi hicho, but tu assume ni kweli, fanya mfokee aache ujinga akiendelea mshirikishe mke wako mu mrudishe kwao being a nice person is not a weakness.
Yaani kama unahisi mkeo atakusingizia tu akijua sasa unasubiri nini? Tenda tendo likamilike ili ukisingiziwq iwe umekula mzigo kweli. Mkeo hana akili ka ndiyo alivyo. Anapaswa akuamini@Mudawote
Mmh
Samaki mkunje angali mbichi. Sasa wewe umelea kipele kimekua jipu ndio unashtuka. Tangu mwanzo ungemshirikisha mkeo. Wewe unamnunulia msichana mpaka gauni kwanini asiwe huru kukuomba hela ya pad. Wanaume wengine mnakera sanaMy wife ni mtu wa kurukia kwenye lawama bila kusubiri mjadala wa kina, naweza nikamwambia akarukia kuwa nimeisha kombeleza sasa ndio namwambia. Itakuwa balaa nzito.
Ila hachana na ushawishi wa huyo binti fanya upesi aondokeHapana hilo sio jambo sahihi kwangu na kwako.
Wala sio mdangaji huyo msoma ramani tu ikifeli atatuliaNilijua mchawi,kumbe mdangajii
Ikitick, mambo bam bam.... . wanabebaga na midawa pori kutoka huko kwao wana kuna kwa lengo la kuchukua nyumba..Wala sio mdangaji huyo msoma ramani tu ikifeli atatulia
Hahahahaaa Ukiona goli limefungwa usimlaumu kipa anza kudili na beki mamaIkitick, mambo bam bam.... . wanabebaga na midawa pori kutoka huko kwao wana kuna kwa lengo la kuchukua nyumba..