Nimeletewa mdada wa kazi "jini"

Huyo sio jini, ni binadamu wa kawaida tu, ila anaipima akili yako.
Biblia inasema AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA.

Utaharibu familia yako kwa ujinga na tamaa zako
Biblia usiichukulie serious unajua duud alizin akampata seleman
 
Sasa wewe kama baba kichwa cha nyumba unashindwaje ku deal na jambo dogo kama hili?

Unashindwa kujua kabisa kipi ni sahihi kufanya na kipi sio sahihi kufanya?

Kwa hiyo ushauri mwingi ukikutaka ukamtafune huyo dada wa kazi utaenda kumtafuna?

Come on wewe ni mwanaume na sifa ya kwanza ya mwanaume ni ku protect his family (family 1st no matter what)

Japo imekaa kama chai sababu dada wa kazi hawezi kua na confidence kubwa kiasi hicho, but tu assume ni kweli, fanya mfokee aache ujinga akiendelea mshirikishe mke wako mu mrudishe kwao being a nice person is not a weakness.
 
Ili tukushauri vizuri weka PICHA YA MBUSUSU tujue kama imeiva kwa kuliwa au bado
 
Kula mzigo acha kuremba remba.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28] ushashikwa tayari
 
Sawaa mkuu nimekuelewa,
Ila najua wapi nilikosea ndipo alipopata hiyo confidence.
 
Jf kwasasa wapika kahawa niwengi sana na kunanyingine tunaletew mbichi kabisa bado hazijaivaa
 
My wife ni mtu wa kurukia kwenye lawama bila kusubiri mjadala wa kina, naweza nikamwambia akarukia kuwa nimeisha kombeleza sasa ndio namwambia. Itakuwa balaa nzito.
Samaki mkunje angali mbichi. Sasa wewe umelea kipele kimekua jipu ndio unashtuka. Tangu mwanzo ungemshirikisha mkeo. Wewe unamnunulia msichana mpaka gauni kwanini asiwe huru kukuomba hela ya pad. Wanaume wengine mnakera sana
 
Ikitick, mambo bam bam.... . wanabebaga na midawa pori kutoka huko kwao wana kuna kwa lengo la kuchukua nyumba..
Hahahahaaa Ukiona goli limefungwa usimlaumu kipa anza kudili na beki mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…