Ama kweli nimeamini pombe sio chai. platozoom, leo umepiga kitu cha wai mkuu?
Maisha club Dom,Dar, Shinyanga au mtwara
Tena cha Kibumaye na Remagwe! Maisha magumu lakini let us paaaaaaaaaaaaaaaaaaarty..kam zis wei my ex charm
Ahhhh mkuu Young_Master usijali ni mambo ya kupunguza stress ......vitu bin vitu. Halafu hiv Spain imesharudi madrid na kombe i know you are fun of futbol
Nimekuona sana unacheza chandimu usibishe enewei Ulimboka anaendeleaje unajua sijafungua jkwaa la siasa