Nimelia jinsi Iran inavyopigwa mabomu

Magaidi wa kiislam wanasubiri babu Netanyahu afe kwa mafua ili wapite na habari kuwa wao ndo wamemuua 😂
Ikulu ya netanyahu ilisambaratishwa tar 2nd March; wakamnyazisha kidogo...angalau wiki moja bila kuropoka...
Hata hivyo, Waisrael walimuua YESU hivyo kuua kwao ni kawaida.... naona damu ya Yesu ina waandama...wanawazia kuua tu...miaka yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…