hamis77 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 18,678 Reaction score 27,653 Mar 8, 2026 #41 stonecutter said: Vipi, mmetangaziwa kuwa ameuwawa?. Click to expand... Sio muda watasema hakufa π
stonecutter said: Vipi, mmetangaziwa kuwa ameuwawa?. Click to expand... Sio muda watasema hakufa π
S Shytown JF-Expert Member Joined Nov 2, 2025 Posts 1,196 Reaction score 2,236 Mar 8, 2026 #42 hamis77 said: Surah Maidah aya 51 , Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Click to expand... ANAYESHABIKIA WATU WENGINE KUUWAWA, NI MFUASI WA SHETANI BILA MWENYEWE KUJIJUA
hamis77 said: Surah Maidah aya 51 , Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Click to expand... ANAYESHABIKIA WATU WENGINE KUUWAWA, NI MFUASI WA SHETANI BILA MWENYEWE KUJIJUA
amarina JF-Expert Member Joined Jan 5, 2025 Posts 230 Reaction score 403 Mar 8, 2026 #43 Shytown said: Kama WaIsrael waliweza kumuua YESU, nini kitawashinda? Hivi Netanyahu amekimbilia wapi baada ya Ikulu yake kusambaratishwa march 2nd? Click to expand... israel haina ikulu
Shytown said: Kama WaIsrael waliweza kumuua YESU, nini kitawashinda? Hivi Netanyahu amekimbilia wapi baada ya Ikulu yake kusambaratishwa march 2nd? Click to expand... israel haina ikulu
S Shytown JF-Expert Member Joined Nov 2, 2025 Posts 1,196 Reaction score 2,236 Mar 8, 2026 #44 amarina said: israel haina ikulu Click to expand... beit aghion
Izato JF-Expert Member Joined May 15, 2019 Posts 5,441 Reaction score 11,669 Mar 8, 2026 #45 Kilichobakia ni kuubomoa msikiti ili lijengwe hekalu la tatu la Wayahudi.