Nimelidondosha Bumunda jingine leo. Sitaki ujinga

Mkuu usiombe huyo demu awe mkeo wa ndoa ndio hasira zitazidi mara kumi, hasa ukiwa bado ndio unajitafuta, yashanikuta hayo kwa make wangu wa ndoa😭😭😭😭
 
Kuna watu wanalala njaa alf
Mtu wa namna hiyo hata kushukuru hamna
View attachment 3427208

Ningelitumia 1K nilipime kwanza
Kabla hujamtumia mtu hela kubwa anza na ndogo alf mpime ni mtu wa aina Gani
kwa mbinu hii nishawaacha weng mno nikidhan waifu material, ukimpa kidogo au kumpanga anajua huna hela anapunguza atention nawew, anasepa.
Alaah! Nani kasema mim ndo mtatua matatzo ya wadada wenye viburi wasiotaka kuoleka wamepanga mageto?
Wakati kuna ndugu zangu wanahitaj msaada wangu
 
Aisee Hii mitizamo wanayo wanawake wengi sana

Ndio wale wanawaacha waume zao wakiwa chini alf wakifanikiwa wanajifanya wanarudi
 
Huu ndiyo uanaume sasa, safi....
 
Kitu kimoja niling'amua wabawake huwa wanajiona ni wakamilifu hawakosei wala hataki kukosolewa. Arafa ya mwisho inaonyesha wewe ndio mkosaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…