Nimelidondosha Bumunda jingine leo. Sitaki ujinga

safi sana
 
Sema nini bumunda wa mwanzo ni wewe 300k unapesa mkuu za kutapanya
 
Utumiwe tu pesa ya msaada uombe na ya kutolea hapana kwa kweli...katafuta content ya kutuponda wanawake, hatupo wajinga kiasi hicho.
Hana hata buku hapo alipo
😂😂😂😂😂😂
 
 
Hapa tumechukua point 3, Hongera King, Ilikua kodi nn 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…