Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
- Thread starter
-
- #81
laki3 tu mpaka unafungua uzi, angeomba gari si ungekimbilia Takukuru!! kijana jifunze kuwa mwanaume. Kuhusu nguvu zangu kiume hilo wewe mwanaume halikuhusu muhimu nipe namba zake nimsaidie
Binafis spendag dem asie na shukran...
Umebeba zawadi kumplekea, hata ahsante huioni ila ataanza kuulizia umenunua shi ngap na kukuchamba kuwa umepunjwa bei.
Hapo nakupa 5 mkuu, wasio na shukran ni wakupga matukio
Yaan laki tatu anataka na ya kutolea uchumi huu ulivyo unachumu 😂😂😂 watu wana viburi kwenye hela umefanya vizuri kuirudisha aisee
Mungu hampi mtu kila kituYaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea.
Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili nzuri. Itakuwa nami sina akili kama yao. Nasikitika sana
View attachment 3426642
Yuko sahihi. Kila mwanamke ni malaya ila version tofauti. Mama mzazi ni mama kwako lakini aweza kuwa malaya kwa mtu mwingineDuuuuh... Umetumia maneno makali ya kunichoma moyo. Uwe na huruma basi ndgu yangu....
Hata kama huyo mdada hampendi huyo mwanaume, huyo mdada atakua ana shida, sidhani kama huyo mdada ataolewa/atadumu kwenye ndoa, akiendelea na tabia alio nayoWatu mna hela za mchezo. Unajipendekeza kwa mtu, unahonga 300k halafu bado hupendwi
Wengine wasema story ya mtoa mada ni chai, ila hata kama ni chai, story yake Ina reflect uhalisia, aina ya wadada alioelezea wamejaa tele mtaani, kuna wadada ni vimeo hatari.. DejaneYaan laki tatu anataka na ya kutolea uchumi huu ulivyo unachumu 😂😂😂 watu wana viburi kwenye hela umefanya vizuri kuirudisha aisee
Caring.. ngoja wakukute jamaa wa 'tafuta hela' 😀Duh yani unatuma 300k kwa mwanamke Ambae si mke wako?
Inafikirisha sanaDuh yani unatuma 300k kwa mwanamke Ambae si mke wako?
Nakubaliana nawe.Mungu hampi mtu kila kitu
Leo nimecheka sana, sawa nimekubali yote. Nipe namba zake huyo bumunda nimsaidieKakijana kanaishi kwa dada yake kamechooka mbavu zinahesabika kanataka kujitutumua. Mwandiko wako tu unaonesha.
Kwa hii Serikali... Pesa zipo sana tuMnapataga wapi pesa za kutuma kwa watu
Watu wazima hawatakiwi kutumia sukariUmetuma 300k afu kijijini mama yako anakunywa chai bila sukari kweli maboya mpo wengi ata mke wangu io pesa sitoi bila Maelezo ya kutosha
Sasa wewe ulikosea,bumunda unalitafuna kwa chai na ndondo.Yaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea.
Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili nzuri. Itakuwa nami sina akili kama yao. Nasikitika sana
View attachment 3426642