Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,299
- 3,977
Kiukweli kama fisi mzoefu wa kula dads zetu kwa hela nimelia sana kwa uchungu yaani hiyo laki tatu kwani i huku mwambia aje kuchukua gheto tena ungekula ungempa 150000tsh .... kiukweli mimi kama fisi nimelia mnoYaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea.
Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili nzuri. Itakuwa nami sina akili kama yao. Nasikitika sana
View attachment 3426642
Mdada kweli ni kauzu. Ila mwanamke asipokupenda na akajua unamuelewa, anakuona kama takataka. Na unakuta hapo huyo dada ana mtu wake hana hata 100 ila analeta mapozi kwa wenye helaHata kama huyo mdada hampendi huyo mwanaume, huyo mdada atakua ana shida, sidhani kama huyo mdada ataolewa/atadumu kwenye ndoa, akiendelea na tabia alio nayo
Mtu anakupa tsh laki 3 ya bure, hata kama hujavutiwa nae, unashindwa kuwa hata na shukrani Mrs Van
Sasa si uboya huo, kidume ambae hana hela anapendwa kuliko unaegharamia, ndo maana mara nyingi mdada nliemtongoza akiniomba hata elf 2, au hela ya breakfast, nakata mazoea nae, namfungia vioo kabisa, na wanajuaga kabisa huyu mwanaume kanichunia sababu namuomba omba hela ya breakfast, sema hawaniambiagi straight.. Mrs VanMdada kweli ni kauzu. Ila mwanamke asipokupenda na akajua unamuelewa, anakuona kama takataka. Na unakuta hapo huyo dada ana mtu wake hana hata 100 ila analeta mapozi kwa wenye hela
Kaen kwa kutuliaHizo hela tupeni sisi wake zenu pumbavu zenu....
Wewe mwanaume Sasa. Hongera kwa kujitambuaYaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea.
Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili nzuri. Itakuwa nami sina akili kama yao. Nasikitika sana
View attachment 3426642
Sasa kama shida yake ilikuwa 300k huoni lengo lilikuwa halijatimia?🤣🤣🤣🤣
300k mtu anataka na yakutolea no wonder huyo alikuwa anakuona wewe bwege
Bora ulivyo Shtuka kmmk
Masking utawaumiza sana. Ukishakuwa na hela hivyo ni vitu vidogo sana.Sema nini bumunda wa mwanzo ni wewe 300k unapesa mkuu za kutapanya
Watu wana heraaaaa🤣🤣🤣Duh yani unatuma 300k kwa mwanamke Ambae si mke wako?