Nimelidondosha Bumunda jingine leo. Sitaki ujinga

Huo muamala usile hata 100 ufoward kwa bimkubwa upate baraka
 
Wee jamn itume kwangu Mimi sihitajigi ya kutolea mwaya😆😆😆😆
 
Japo unaonekana umebwinu mbwinu ya kutafuta madadas Kwa mfumo unaoitwa October tunatik😆
 
Kweli nawe huna akili, unamtumia malaya kilo tatu nzima??
 
Mbona wewe hapa ndio bumunda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…