Nimeligundua Leo: Mademu wa Arusha city hawatofautiani, na wa Mtwara kwetu.

Nimeligundua Leo: Mademu wa Arusha city hawatofautiani, na wa Mtwara kwetu.

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
18,585
Reaction score
16,780
Kuna mshikaji mmoja, alinitembelea Mtwara, basi ile kujimix kitaa siku mbili tatu karudi na ma concept kibao ooh mademu wa mtwara simple sana et vers 1 tu anaingia kingi.
Asijisifu sana leo na mimi nimeprove hapa A.town! wa hapa ni wepesI zaidi!....
 
LIVEPOOLfc huyo jamaa kaja kutafuta tuu wanawake wa arusha (mwenyewe anawaita madem) au kaja kwa mambo mengine
eti kiwatengu hebu tupe taarifa
 
Last edited by a moderator:
kiwatengu; Upo A town sehemu gani?

Afu mkuu, leo kuna tukio moja nimelishuhudia pale NMB Market branch, kuna jamaa kapigwa sana raia, sema polisi wakawahi kum'beba. aisee ilikuwa noma!
 
Last edited by a moderator:
Kuna mshikaji mmoja, alinitembelea Mtwara, basi ile kujimix kitaa siku mbili tatu karudi na ma concept kibao ooh mademu wa mtwara simple sana et vers 1 tu anaingia kingi.
Asijisifu sana leo na mimi nimeprove hapa A.town! wa hapa ni wepesI zaidi!....

wepesi kuliko wewe? usifanye generalization basi, sema "BAADHI" usitushushie heshima bana ambao ni wagumu khaaa!!
 
umeenda mrina nini mkuu...

Hapana Mkuu, nimekuja kimatatizo kidogo! ila huwa naamini sana katika Mungu, haya mengine ya mademu ni ziada tu. kiukweli nipo hapa kwa ajili ya matatizo!!
 
Back
Top Bottom