Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Utumishi wa mchongo huuUko sawa kabisa, ingawa ulikosea,
Kwenye kuchagua Jina jipya ulipasa kupata ushauri wa Mchungaji kupitia maombi.
Baada ya kubadili Jina, Badili pia na kabila, maana waliompokea YESU KRISTO kuwa BWAWA na Mwokozi wanazaliwa UPYA, Jina jipya, Cheo kipya, kabila jipya.
Ubarikiwe.
Umeshindwa kujiongeza wewe.Mwaka 2009 wakati nikiwa form 3 nilienda kanisani na kumwambia baba mchungaji nataka kubadilisha jina hili walilonipa wazazi wangu silitaki.
Eti wamenipa jina la babu yangu mzaa baba, babu mlevi kiwembe balaa kwa madem, alikuwa na utajiri wa ng’ombe 500 mbuzi kibao wote kahonga madem, mifugo wengine alikuwa anawapa wanaume kama fidia pale wanapomfuma na wake zao. Nikasema babu gani ndezi namna hii yaani mimi ndio nirithi jina lake?
Baba mchungaji akaniambia sawa nikachagua jina nilitakalo nikabatizwa. Japo mavyeti yanasoma hilo jina bado napambana kubadilisha japo kuna kimbembe.
Wazazi wapeni watoto wenu majina mazuri.
Unekurupuka hakuna sehemu kasema amethamini jina la kizungu wala kiarabu. Kakataa kuotwa majina ya kipuuzi kama Masumbuko, mahangaiko, Shida, taabimu, matatizo, Njaa, Bakuli n.k. Inaweza akawa anaitwa sasa Andambike, Nuru n.kHapa ndiyo Ngozi nyeupe walituweza!
Kwamba ukiitwa Mussa au Muhamad ndiyo mambo yako yatanyooka?!
Bora hata huyo babu yako aliweza kupata hata hao Ng'ombe 500 wewe baada ya kubadili jina sasa hivi una mali kiasi gani?!
Hakuna ujinga kama kuthamini majina ya Wazungu na Warabu!
Hata wao walikuchagulia hilo wakiamini ni jina zuri. Labda useme wasiwape watoto majina ya kurithiMwaka 2009 wakati nikiwa form 3 nilienda kanisani na kumwambia baba mchungaji nataka kubadilisha jina hili walilonipa wazazi wangu silitaki.
Eti wamenipa jina la babu yangu mzaa baba, babu mlevi kiwembe balaa kwa madem, alikuwa na utajiri wa ng’ombe 500 mbuzi kibao wote kahonga madem, mifugo wengine alikuwa anawapa wanaume kama fidia pale wanapomfuma na wake zao. Nikasema babu gani ndezi namna hii yaani mimi ndio nirithi jina lake?
Baba mchungaji akaniambia sawa nikachagua jina nilitakalo nikabatizwa. Japo mavyeti yanasoma hilo jina bado napambana kubadilisha japo kuna kimbembe.
Wazazi wapeni watoto wenu majina mazuri.
Kwa hiyo ulivyobadili ukaitwa ELON tabia zako zimebadilika na tayari wewe ni tajiri namba 1 duniani?Mwaka 2009 wakati nikiwa form 3 nilienda kanisani na kumwambia baba mchungaji nataka kubadilisha jina hili walilonipa wazazi wangu silitaki.
Eti wamenipa jina la babu yangu mzaa baba, babu mlevi kiwembe balaa kwa madem, alikuwa na utajiri wa ng’ombe 500 mbuzi kibao wote kahonga madem, mifugo wengine alikuwa anawapa wanaume kama fidia pale wanapomfuma na wake zao. Nikasema babu gani ndezi namna hii yaani mimi ndio nirithi jina lake?
Baba mchungaji akaniambia sawa nikachagua jina nilitakalo nikabatizwa. Japo mavyeti yanasoma hilo jina bado napambana kubadilisha japo kuna kimbembe.
Wazazi wapeni watoto wenu majina mazuri.
Yaani aliyetuloga yawezekana naye alikuwa kalogwa.Kuna watu wengi tu wanaitwa SHIDA lakini wana maisha mazuri tu kwazidi wanaitwa NEEMA.
Jina halina maana yoyote , kinacho matter ni DNA
Hajui hesabu ya - na+Umeshindwa kujiongeza wewe.
Hilo jina lina pande mbili.
1)utajiri wa ng'ombe na mbuzi
2)Tabia chafu ya kuchukua wake za watu
Ungelitumia hilo jina kwanza mpaka ukapata utajiri wa mbuzi na ng'ombe halafu ndio ungeenda kanisani kulibadilisha.
PUnekurupuka hakuna sehemu kasema amethamini jina la kizungu wala kiarabu. Kakataa kuotwa majina ya kipuuzi kama Masumbuko, mahangaiko, Shida, taabimu, matatizo, Njaa, Bakuli n.k. Inaweza akawa anaitwa sasa Andambike, Nuru n.k