Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake tuna huruma, hebu nenda kajieleze vizuri ataelewa. Usiende kuongeza uongo hata kidogo, wewe sema ule ukweli ulio moyoni mwako na uahidi kutorudia.
Huyo hajaandika risala, angalia points tu zinavyoenda utagundua ana maana gani. Unajua unapofanya matendo ya uovu unaona kama vile huonekani kwa binadamu mwenzio lakini kwa Mungu je?
Tafakari!
Mikella amekwambia kuwa yeye ni mwanaume??mpe maneno mazuri,kumbushia tangu uhusiano wako na mke wako ulivyoanza,ikibidi hata barua ya mapenzi muandikie mke wako.wanawake ni rahisi kusamehe. Na ahadi ya kutokurudia usirudie tena. Vile vile ikibidi kumtoa out mke wako mtoe.
Nafwa mwenzenu.
Huu sio muda wa kunilaumu, i need your help waungwana.