Mhhhh inaonekana wewe umewahi kumfanyia mtu maana umeelezea kutokana na experience yako kabisa,lakini kweli kabisa wala hujakosea wangu..picha na siku mnaonana ikiwa tofauti basi lazima mapenzi yanaweza kupungua na kama ikiwa hivyo then hapo kama ni mimi sitouliza kabisa naanza kumtafuta mwingine mapema maana kama nikiendelea kumfatilia nitaumiza kichwa tu...