Nimelikosea Wapi? Naomba Mawazo Yenu.

Nimelikosea Wapi? Naomba Mawazo Yenu.

hapo tatizo ni kutokujali japo huna pesa,halafu hueleweki,mara huna pesa,halafu kwa sasa tena una pesa mbaya,ndio nini?ungez
weza japo uwahi airport hata ushauri usingeomba kwani mambo yangekuwa poa
 
Mhhhh inaonekana wewe umewahi kumfanyia mtu maana umeelezea kutokana na experience yako kabisa,lakini kweli kabisa wala hujakosea wangu..picha na siku mnaonana ikiwa tofauti basi lazima mapenzi yanaweza kupungua na kama ikiwa hivyo then hapo kama ni mimi sitouliza kabisa naanza kumtafuta mwingine mapema maana kama nikiendelea kumfatilia nitaumiza kichwa tu...

Hiyo "experience yangu" niliipata kwako ehhh?
 
Back
Top Bottom