Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Nov 24, 2018 #1 Aman Iwe juu yenu wakuu Jana nimepokea ombi la mrembo matata kutoka jf anaitwa nahuja. Nahuja kaniomba niwe mpenz wake yaan kanipenda kimapenz Anaonekana kafa kaoza juu Yangu Pm Yangu Jana ilijaa msg za watu wakitaka nimukubalie maana anaumia sana moyo hivyo anaweza jinyonga bure huyu mtoto Wa watu Sasa bas wakuu natangaza rasmi kulikubali ombi la nahuja na nimekubali awe mpenz kama yeye anavyotaka Bas NAHUJA nimekubali moyo wangu chukua LONDON BOY
Aman Iwe juu yenu wakuu Jana nimepokea ombi la mrembo matata kutoka jf anaitwa nahuja. Nahuja kaniomba niwe mpenz wake yaan kanipenda kimapenz Anaonekana kafa kaoza juu Yangu Pm Yangu Jana ilijaa msg za watu wakitaka nimukubalie maana anaumia sana moyo hivyo anaweza jinyonga bure huyu mtoto Wa watu Sasa bas wakuu natangaza rasmi kulikubali ombi la nahuja na nimekubali awe mpenz kama yeye anavyotaka Bas NAHUJA nimekubali moyo wangu chukua LONDON BOY
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 17,640 Reaction score 22,748 Nov 24, 2018 #3 MBITIYANZA umempeleka wapi?
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,637 Reaction score 47,413 Nov 24, 2018 #4 Huyo ni wewe kumbe?
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Nov 24, 2018 #5 Utakua hununui nguo za juu nyingi maana mtakua mwavaliana
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Nov 24, 2018 Thread starter #6 ze-dudu said: MBITIYANZA umempeleka wapi? Click to expand... Yuko chuo anasoma
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Nov 24, 2018 Thread starter #7 Analyse said: Huyo ni wewe kumbe? Click to expand... Ndiyo mkuu ndo mimj
Davet JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 42,445 Reaction score 205,933 Nov 24, 2018 #8 Mapenzi mema
Mama Sabrina JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 16,620 Reaction score 27,589 Nov 24, 2018 #9 Yoo shemela unahama unahama
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,394 Reaction score 59,069 Nov 25, 2018 #10 Kumbe mu handsham ivyo
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Nov 26, 2018 Thread starter #11 yna2 said: Kumbe mu handsham ivyo Click to expand... Ee Si umeona mwenyewe
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 154,929 Reaction score 459,607 Nov 26, 2018 #12 Masikini mbiti wangu najua utapita kusoma hapa NAHUJA ameshakuibia beira wako
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,970 Reaction score 35,168 Nov 26, 2018 #13 Shunie said: Masikini mbiti wangu najua utapita kusoma hapa NAHUJA ameshakuibia beira wako Click to expand... ππππππππππππ
Shunie said: Masikini mbiti wangu najua utapita kusoma hapa NAHUJA ameshakuibia beira wako Click to expand... ππππππππππππ
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,394 Reaction score 59,069 Nov 26, 2018 #14 Beira Boy said: Ee Si umeona mwenyewe Click to expand... Nimeona
Kanyamulano JF-Expert Member Joined Nov 25, 2017 Posts 905 Reaction score 872 Nov 26, 2018 #15 Hahaha Maisha mema Nahuja
moto wa maji JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 4,151 Reaction score 2,979 Nov 26, 2018 #16 Kula mzigo huyo mzee baba
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Nov 28, 2018 #17 HIVI SHULE ZINAFUNGULIWA LINI?
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Nov 28, 2018 Thread starter #18 Joseverest said: HIVI SHULE ZINAFUNGULIWA LINI? Click to expand... Mbona nimeuwa mwaka huu
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Nov 28, 2018 Thread starter #19 moto wa maji said: Kula mzigo huyo mzee baba Click to expand... Poa poa mzee baba
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Nov 28, 2018 #20 NAHUJA said: Si ndio wamefunga shule mtani wangu!!! Click to expand... Kumbe ndio maana