Nimelikubali ombi la Nahuja la kuwa mpenzi wangu kwa moyo mmoja

Nimelikubali ombi la Nahuja la kuwa mpenzi wangu kwa moyo mmoja

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman Iwe juu yenu wakuu

Jana nimepokea ombi la mrembo matata kutoka jf anaitwa nahuja. Nahuja kaniomba niwe mpenz wake yaan kanipenda kimapenz

Anaonekana kafa kaoza juu Yangu

Pm Yangu Jana ilijaa msg za watu wakitaka nimukubalie maana anaumia sana moyo hivyo anaweza jinyonga bure huyu mtoto Wa watu

Sasa bas wakuu natangaza rasmi kulikubali ombi la nahuja na nimekubali awe mpenz kama yeye anavyotaka

Bas NAHUJA nimekubali moyo wangu chukua



LONDON BOY
Screenshot_20181123-225803.jpeg
 
Back
Top Bottom