Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli kilimo ni kamari lakini sikati tamaa bado tapambana mpaka kieleweke
kweli kilimo ni kamari lakini sikati tamaa bado tapambana mpaka kieleweke
kweli kilimo ni kamari lakini sikati tamaa bado tapambana mpaka kieleweke
Mkuu usikate tamaa,
mwaka juzi nilifuga kuku kwa juhudi nakufanikiwa kuwa na kuku 65 lakini walikufa wote
mwaka janaa nikafuga wakafa wote,
na mwaka huu nafuga kwa mara ya tatu,
nikichemka nabadilisha mradi.
Kweli kabisa mkuu, nilifuga kuku wa kienyeji kama 400 hivi wakafa wote, nikarudia tena kama 250 wakafa wote, sasa hivi ninao kama 17 naendelea kupambana! Hakuna kukata tamaa mkuu.....ila kila hatua nimejifunza mambo mengi ya muhimu na yananisaidia sana.Kuku wangu hawa 17 matetea kumi na tatu na wote wanataga sasa na wengine wanatamia mmoja ametotoa kifaranga kimoja na kimekufa, ila nimejua tatizo lilikuwa nini, ni kupambana kwenda mbele....na mbuzi tisa wawili wamezaa wiki iliyopita...naendelea kujifunza...tusikate tamaa na tumtegemee mwenyezi Mungu, kwa hakika tutafika!
Pole mkulima mwenzangu, mitaa ya wapi hiyo?
means sh ngapi imekwenda na maji yani mtaji, na ulitegemea uvune sh ngap?
pole sana mkuu,
badilisha mbinu za mapambano. Usikate tamaa usiku unapo komaa kupambazuka kunakaribia.
kondoa MZEE
nashukuru wakulima wenzangu kwa kunipa moyo
Ni kwenye zile mbuga nini? Nina jamaa yangu hapa kwa Mkoloni, naye alilima mitaa hiyo hiyo, ikaja mvua ikasafisha kila kitu,akabadilisha location. Kama ni zile mbuga kwa mafuriko ya hovyo ndio kwenyewe.
kweli kilimo ni kamari lakini sikati tamaa bado tapambana mpaka kieleweke
milion tatu lakini mungu yu pamoja nami