OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
Pole mkulima mwenzetu kuna kitu kinaitwa "palio la maji" inaweza lima shamba hata miaka mitatu na ukavuna ila kama hapo ni njia ya maji ya asili basi huwa inatokea maji kupita kama mvua zitanyesha kwa wingi katika eneo ambalo yakijaa yanapita hapo!!!!
Mwaka jana kati heka mia almost 29 zilichukuliwa na maji zikiwa zimeshapandwa, mwaka huu kupanda bado ila maji yamepita almost 31 hazitalimwa kabisa sababu tayari dalili za maji zimeanza!!!
Kama una shamba la aina hii kubali kuacha ile sehemu maji yanapita