Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #121
Pole s
Na hii ndio sababu nyanya imeshuka ghafla.
Mimi kama nilivyosema niliuza Kwa bei tofaut tofauti kama 45k 52k 40k nk Kwa kret.
Pole sana mkuu. Sasaivi mipaka imefungwa Kwa sababu ya ugonjwa wa homa ya nyani (m pox) hivyo wakenya na wanywaranda hawaji Tena wakibahatika ni Kwa binde mno.Umepataje faida yote hiyo mkuu? Umevuna lini mbona kila Kona watu tunalia bei mbaya huku mpaka sasa hivi wengine tumetelekeza tunaandaa mbegu nyingine tu maana hela haiwez kurudi tenaView attachment 3084185
Kilogram moja imedrop half price kuna mafuriko ya nyanya, kama kuna mahali soko zuri tuambizane jamani.
View attachment 3084188
Na hii ndio sababu nyanya imeshuka ghafla.
Mimi kama nilivyosema niliuza Kwa bei tofaut tofauti kama 45k 52k 40k nk Kwa kret.