Nimelima nyanya heka 1 nimepata faida ya Tsh. Milioni 9 ndani ya miezi minne

aya mambo aya ni changamoto sana,,nadhani ili ufanikiwe inahitajika vitu vingi sana ikiwemo hata bahati na kujijua wewe upepo wako umekalia wapi
 
aya mambo aya ni changamoto sana,,nadhani ili ufanikiwe inahitajika vitu vingi sana ikiwemo hata bahati na kujijua wewe upepo wako umekalia wapi
Mhimu no soko na matunzo mkuu. Yaani uwe na uhakika wa kwamba utauza Kwa bei yoyote Ile iwe bei ya juu au chini kikubwa nyanya kama imetunzwa vzr lazima faida uione.
 

Attachments

  • IMG-20240731-WA0016.jpg
    262 KB · Views: 12
Kulima ni hatua moja soko ni hatua ya pili.

Mm sitaki kujua ulilima wapi ulilima aina gani ya nyanya mmi nataka kujua njia za soko ulizo tumia kunufaika na uuzaji wa nyanya zako bila kupatwa na stress za mzigo kuuza nei ya chini n.k
 
Kulima ni hatua moja soko ni hatua ya pili.

Mm sitaki kujua ulilima wapi ulilima aina gani ya nyanya mmi nataka kujua njia za soko ulizo tumia kunufaika na uuzaji wa nyanya zako bila kupatwa na stress za mzigo kuuza bei ya chini Kwa madalali
 
Kulima ni hatua moja soko ni hatua ya pili.

Mm sitaki kujua ulilima wapi ulilima aina gani ya nyanya mmi nataka kujua njia za soko ulizo tumia kunufaika na uuzaji wa nyanya zako bila kupatwa na stress za mzigo kuuza nei ya chini n.k
Kanda ya Ziwa Kuna wanywaranda, Kenya na waganda Huwa wananunua wao mkuu
 
Mkuu hongera sana Nikifa MkeWangu Asiolewe
Pia Uzi mzuri sana lakini next time punguza kidogo kuwafokea hao vijana wa ovyo mana hawawezi elewa hao.

Mimi pia ni mkulima mzuri wa nyanya na ata sasa nimeanza kuvuna rasmi kuanzia juzi. Sasa changamoto kidogo kwangu ni soko hivyo naomba kama una contacts za watu wa uhakika wanaohitaji nyanya uniunganishe nao tuone tunafikia wapi.

Nalimia Tanga, na kwa maelezo zaidi tunaweza met dm bro!
 
Mkuu Mimi masoko walikuwa wanakuja wanywaranda Hadi shambani.

Kwa Tanga ni mbali sana ukilinganisha hata huku nyanya Kwa kipindi hiki ni nyingi mno.
 
Nakumbuka kule moshi kuna jamaa alikopa akawekeza kwenye kilimo cha maharagi. Mwanzo mvua ilinyesha vizuri mwisho ikakata jumla. Jamaa kuona maharagi yalivyoungua akala kitanzi. Mke wake akabaki na deni la benki.
Duuh, kilimo sio cha kukikopea…

Lima kwa hela yako y ziada cz risk n kubwa sn, hasa kwa mifumo hii iliowekwa n serikali, masoko n tija..
 
Ni umwagiliaji mkuu nilikuwa na pump kutoa kwenye bwawa Hadi kwenye dimbwi nililojwngelea na cement then na supply Kwa ndoo mkuu

M
Na hizo gharama za pump, kujenga dimbwi na running costs za hio pump umeziweka ? kwenye hio 3m uliyosema ? Binafsi nadhani kinachowakwamisha wengi sio kutupia mbegu na kuvuna ni masoko..., na masoko bado ni unpredictable jambo linalofanya tasnia hii kuwa Kamari..., Institutions Husika na Wizara zinapwaya sana na kuwalet down wakulima...., Ukizingatia wewe una Bwawa wengine wengi (peasants) hata maji ya kunywa wakati wanapiga jembe hawana....
 
Hilo dimbwi nimejenga tangu mwaka 2016 Huwa nakarabati kidogo pale panapoonyeaha nyufa na pump pia ninayo Ina miaka3 Sasa ila Kwa Sasa nimenunu kubwa Inchi3.


SoMo ndo changamoto mkuu mwaka huu tunashukuru tumepata wateja kutoka Nje Mimi walikuwa wanakuja wanywaranda Hadi shambani
 
Hongera sana,, ila naomba kujua,, ulivuna tenga ngapi, na kila tenga uliuza bei gani
 
jidanganye ukifa lazma ni mwoe mke wako anifundishe kilimo cha nyanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…