Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 866
Wapenzi habari za masiku kadhaa.Nimatumani yangu kuwa wote tu wazima na tunaendelea vizuri na shughuli zetu za kila siku...Nilukuwa mbali kidogo nba jukwaa hili kwa sababu mbalimbali zilizokuwa nje ya uwezo wangu..Kifupi ni kwamba nilikuwa na majukumu yaliyonifanya niwe mbali na kitu kinachoitwa computer na hivyo kupitwa na mengi ndani ya jukwaaa letu murua la mapenzi..Nilikuwa napata wasaa mchache nakupitia kuleee kwenye jukwaa la siasa kidogo na kupotea..Kusema ukweli nimekosa vitu vingi vya humu na nimewamiss sana yaani ile mbaya..Nimemiss point zenu,nimemiss pumba zenu,nimemiss kucheka peke yangu,nimemiss kukuasirika peke yangu,nimemiss kufurahi peke yangu ,nimemiss na hata kuhuzunika..Vyote hivi huwa navipata ndani ya jukwaa hili..Nafurahi sana kurudi tena hewani leo...
I missed you all!
Mwaaaaaaaaaaaaaaa
I missed you all!
Mwaaaaaaaaaaaaaaa