Nimelimiss sana hili Jukwaa la Mapenzi na Wadau Wake Wote

Nimelimiss sana hili Jukwaa la Mapenzi na Wadau Wake Wote

Status
Not open for further replies.
warmly highly humbly welcome back......hivi nimepatia ki noname hapa au?

Nuli Nguli Nguli......mi sisemi hapo bro!!! unakijua ile mbaya yake etii!!
 
Gender sensiteve,

Mkuu karibu kwenye hili jukwaa,nimelipokea hilo busu kwa mikono miwili,ingwa sijui ni la shavuni au wapi,lol
 
JamiiForums Message
We will be back shortly... Only 5 minutes pls!! - JF Management​
 
hahaaa lol
watu bwana si jui mmetumia vigezo gani kuweka kwenye kundi letu.....
Kwa sisi tuliosoma shule za kata intaneshno skuli tukiona neno Gender tunaliweka kundi na waziri anayeshughulikia gender issues. Sijui ni kwanini hii wizara lazima waziri awe mwanamke.Pole zake GS!!
 
Kwa sisi tuliosoma shule za kata intaneshno skuli tukiona neno Gender tunaliweka kundi na waziri anayeshughulikia gender issues. Sijui ni kwanini hii wizara lazima waziri awe mwanamke.Pole zake GS!!

sina jibu
dah biggy kuna binti Pasco katangaza kifo chake kule, kichwa yangu imeharibika kabisa.....
 
Kwa sisi tuliosoma shule za kata intaneshno skuli tukiona neno Gender tunaliweka kundi na waziri anayeshughulikia gender issues. Sijui ni kwanini hii wizara lazima waziri awe mwanamke.Pole zake GS!!

Wizara ya gender huwa inakuwa na waziri mwanamke kwa kuwa viongozi wetu hawajui maana ya Gender wanafikiri ni jinsia ya kike kumbe sivyo..Nchini Finland waziri wa Gender ni mwanaume.
 
Wizara ya gender huwa inakuwa na waziri mwanamke kwa kuwa viongozi wetu hawajui maana ya Gender wanafikiri ni jinsia ya kike kumbe sivyo..Nchini Finland waziri wa Gender ni mwanaume.

hahahahhahha,mwana umechimba kinoma

Kiingereza kilivyo janga la kitaifaunategemea watu waeleweje,lol
 
hahahahhahha,mwana umechimba kinoma

Kiingereza kilivyo janga la kitaifa unategemea watu waeleweje,lol
Ben hii ningeiona mchana ningeoa sadaka lunch yangu
taifa hili janga baada ya janga
 
Wapenzi habari za masiku kadhaa.Nimatumani yangu kuwa wote tu wazima na tunaendelea vizuri na shughuli zetu za kila siku...Nilukuwa mbali kidogo nba jukwaa hili kwa sababu mbalimbali zilizokuwa nje ya uwezo wangu..Kifupi ni kwamba nilikuwa na majukumu yaliyonifanya niwe mbali na kitu kinachoitwa computer na hivyo kupitwa na mengi ndani ya jukwaaa letu murua la mapenzi..Nilikuwa napata wasaa mchache nakupitia kuleee kwenye jukwaa la siasa kidogo na kupotea..Kusema ukweli nimekosa vitu vingi vya humu na nimewamiss sana yaani ile mbaya..Nimemiss point zenu,nimemiss pumba zenu,nimemiss kucheka peke yangu,nimemiss kukuasirika peke yangu,nimemiss kufurahi peke yangu ,nimemiss na hata kuhuzunika..Vyote hivi huwa navipata ndani ya jukwaa hili..Nafurahi sana kurudi tena hewani leo...

I missed you all!
Mwaaaaaaaaaaaaaaa

Hahahahaha Mkuu GS kumbe nawe huwa unacheka pekee yako na vimbwanga vya humu ndani...LOL! kumbe tuko wengi basi 🙂 Itabidi utafute kilap top kidogo dogo ile usimiss tena mavitus ya humu ndani. Unaweza kuugua bureeeee!...kisa nini umeimiss JF!....LOL!
 
Mkuu BAK.Huwa nacheka sana tena sana utafikiri mwehu vile.Nichangie basi ili ninunue kalaptop.
 
Ha ha ha.Kama ambavyo wengi tumedanganywa leo.

oooh,hun are you back?
icon7.gif
icon7.gif
nilikua nimekumiss sana

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom