ha ha ha na wewe pia ulipotea! nilkujibu kule uliponiuliza wapi nilikua....Tatizo lako hommie unaibuka kuokoa jahazi wakati nduguyo nshaangamia! Hehehe! Sasa ntakuwa natinga kwa mkoloni na valeur kwa mfuko.
Hapo kwenye red nimecheka kidogo nizimie. Afu ukute ndo katoka kupiga kimpumu. Hiyo presha itakayotoka hapo,ardhi lazima ipate habari yake! Hehehe!Usijali hata choo cha kike nacho ni choo.Hata wao sometimes husimama wakati wa kukojoa,labda ulikuwa unatoa haja ile nyingine ambayo kila mwanadamu kama anatumia choo cha shimo lazima achuchumae.Si kweli Bht?...Please keep my vote..Umejiandikisha lakini?
Hapo kwenye red nimecheka kidogo nizimie. Afu ukute ndo katoka kupiga kimpumu. Hiyo presha itakayotoka hapo,ardhi lazima ipate habari yake! Hehehe!
Hapo kwenye blue usitegemee kupata komenti ya mamushka! Kama ulikuwa unategemea jibu jua imekula kwako!
Kwa Kimaro au Ndesa pesa au Bazil Pesamingi MrambaNaogopa kwakuwa kulee kwenye jukwaa la siasa wakati mwingine huwa nawasema watu fulani sasa wakijua ni mimi itakula kwangu.Sio Dar ni nje ya Dar..
Chonde chonde msinigusie mungumtu wangu. Huyu kasaidia tunaenda kumtembelea bibi na vitz hata kama huna spea tairi! From Dar to Rombo with Love!Kwa Kimaro au Ndesa pesa au Bazil Pesamingi Mramba
Chonde chonde msinigusie mungumtu wangu. Huyu kasaidia tunaenda kumtembelea bibi na vitz hata kama huna spea tairi! From Dar to Rombo with Love!
Samahani kama nimewakwaza!
Mimi sio she Xpin.Si unajua mabo ya JF kuzugana sometimes?.
mkuu umemsoma hapo juu huyo kamanda?Karibu tena mama jamvi liko vilevile kama ulivyoliacha!
Siyo huyo tu hommie. Mwingine huyu hapa chini!mkuu umemsoma hapo juu huyo kamanda?
Karibu sana bibie
ha ha ha tena hiyo Vitz imejaa 5 people na mm unanidondosha pale samanga kilimani!! Baelezee hommie!!Chonde chonde msinigusie mungumtu wangu. Huyu kasaidia tunaenda kumtembelea bibi na vitz hata kama huna spea tairi! From Dar to Rombo with Love!
Samahani kama nimewakwaza!
Kiongozi nilishaomba radhi kama nitakukwaza. Ngoja amalizie kale kabarabara kwanza afu ndo tumpige chini hiyo December. Si unajua mahela yale ya EPA?Mmh.Hapa Xpin tutakosana,unamtetea huyu jamaa kwa hilo tu?amefanya madhambi mangapi tean makubwa sana?
Tatizo umesahau kuwaambia SAMAHANI KAMA UMEWAKWAZA. Hommie tayari au?ha ha ha tena hiyo Vitz imejaa 5 people na mm unanidondosha pale samanga kilimani!! Baelezee hommie!!
Hommie si unaona time zenyewe zinaruhusu.....ila leo sijaribu ile kitu bana!! nimecheki hapa sioni visoda so ngoja niwe mpole waweza kutoa thanx chupa ya mjeda ikawa tabu!!Tatizo umesahau kuwaambia SAMAHANI KAMA UMEWAKWAZA. Hommie tayari au?
Dah! Leo mkoloni kaniumiza.Hommie si unaona time zenyewe zinaruhusu.....ila leo sijaribu ile kitu bana!! nimecheki hapa sioni visoda so ngoja niwe mpole waweza kutoa thanx chupa ya mjeda ikawa tabu!!
genekai
genekai The Moralist
JF Senior Expert Member
Join Date: Tue Feb 2010
Posts: 378
Thanks: 20
Thanked 123 Times in 96 Posts
Rep Power: 21
Re: Nimelimiss sana hili Jukwaa la Mapenzi na Wadau Wake Wote
Karibu tena mama jamvi liko vilevile kama ulivyoliacha!
The Following User Says Thank You to genekai For This Useful Post: Gender Sensitive (Today)
Haya mambo ya kugongea senksi posti kama hizi ndio yanatufanya midume tuingie choo cha kike!
Mvumilie tu huyo maana just two days to go then.......till tuesday!! patakua hapatoshi!Dah! Leo mkoloni kaniumiza.
Hii mida nikifikiria mafoleni, kiu inakatika ghafla!
Kiongozi nilishaomba radhi kama nitakukwaza. Ngoja amalizie kale kabarabara kwanza afu ndo tumpige chini hiyo December. Si unajua mahela yale ya EPA?
Hahahaha! Hicho ni kibluray hommie!warmly highly humbly welcome back......hivi nimepatia ki noname hapa au?