A
Anonymous
Guest
Mimi ni mpandaji mabasi ya Mwendokasi hasa Gerezani tu Kimara, sasa leo nilibanwa na haja ndogo nikafika dirishani nikakata tiketi nika-scan nikaingia ndani nikaona choo nikajua kwaajili abiria nikaingia kujisaidia ile kutoka nadaiwa shilingi 300.
Najiuliza nimelipa Sh 1,000 kwaajili ya usafiri na nilipe tena kupata huduma ya choo hii imekaaje wadau?
Najiuliza nimelipa Sh 1,000 kwaajili ya usafiri na nilipe tena kupata huduma ya choo hii imekaaje wadau?