Nimeliwa pesa zangu na malaya

Kwanza Unaweza zani demu, Kumbe dume lenzi hilo.

Watu sikuhizi wanawe picha za uongo, wanawake kwa Waume, ili uingie king, uliwe kama ulivyoliwa wewe.

Hebu unadhani ni wewe tu ndiyo mjinga pekeako, hapana mpo wengi sana Tanzania, hebu fikilia, akiwapata watu 20, kwa Siku, ana haja kufanya kazi huyo.

Hakuna mwanamke, atakea fanya biashara, asbuhi, amfuate mteja wa kigamboni, mchana afuate mteja wa mbezi Luis, jioni afuate wa mbagara, si atachoka na Daladala.
 
Una uhakika hao ni Malaya au kahaba kama unavyowaita? Wangekuwa hivyo usingekuwa hapa kulalama. Jitathmini Kati yako na wao, nani anastahili hili jina.
 
Uzoefu unasema atakurudia siku yoyote huyo. Wewe tulia kimya. Atazunguka huko kuna siku atakosa wa kumdangia.. Atakukumbuka, ataomba aje!! Bahati nzuri utamdanganyautampa pesa, akija unakula mzigo na kumpepesha.
Tapeli la kiume hilo, limemuwekea picha bandia, ameingia king.

Wapo wanaojifanya akina Wema Uwoya, alafu wanakuomba hela ya supu, ukistuka unaona unaibiwa Wema aombe hela supu mtandaoni, tena kwa mtu asiye mjua.
 
Kila siku watu wanaandika nyuzi humu kuwa ukituma tu hela umeliwa we bado unatuma tu.
 
Hapo umeshapigwa ndugu tena dume mwenzako , kwani wameona hiyo ndio njia ya kujipatia kipato kwa kutumia mitandao hasa instagramu kuwa makini sana ndugu.
 
Weka hiyo namba hapa tumpeleke TCRA kwa kosa la uhalifu wa kuaminiwa
 
wewe nani kakwambia utangulize fedha,ungemwambia chukua teksi ntakulipia ukifika
 
Wasiwasi ndio akili, na vizuri umethibisha pasi na shaka kuwa utapeli upo kwenye mswala haya. Kuanzia sasa utakuwa mjanja💪🏿
 
MUNGU tu anisamehe lakini ndugu watu huenda bar au kwenye makuano yao huko kambi ya fisi huko kuchukua sampuli waitakayo na wengine hutengeneza mpaka urafiki wa kudumu siku akihitaji ni kumshtua tuu goma linakuja ndani.
Wengine hutembea na wanawake single au single mama maisha yanasonga final uzeeni.
Huwezi tuma pesa kwa mtu ambae hamjaonana ana kwa ana maybe kama pesa yako umeiweka chambo.
Ila mkuu kwanini hujaoa eti maana mke ndie suluhisho la yote haya?
 
Jaribu kuangalia heading mkuu ishu apa n ugwadu tu na sasa nmeshajifunza sirudiii tena,,na pia ushawishi tu wa vitu flani kuna vijisenti nmekamata mahali ndo maana nkajidai mwamba na mm lakini n ulimbukeni tu mkuu ,,ishu ya kuoa ninayo muolewaji tu ndo hayupo tayari yaan bado anasoma that's all man
 
badili namba kisha mtongoze upya ataingia line hapohapo utampata kiulaini
 
Safiiii Na huenda hyo pesa umemtumia mwanaume mwenzako
 
Unauhakika gan km ni demu???


Sababu ya mapicha mapicha???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…