Nimelogwa ninenepe tu?

Ungekuwa upo Dar ningekuelekeza sehemu ukanunue dawa ya kienyeji. Wiki mbili tu ushapunguza hata kilo 10 na zaidi. Nashangaa kuona watu wanahangaika. Tatizo ukishazidiwa ubonge na uzito hata mazoezi huwezi fanya.
 
Uzito = 94kg

Force = ma

Force = 94*10

Force = 940 newtons
 
Diet hizo ila mazoezi ni muhimu sana kwa matokeo mazuri. [Diet bila mazoezi ni sawa na kuokoka bila kufanya maombi kamwe huwezi mshinda shetani. Kuna hiyo moja inaitwa mauaji unakata kilo 10 kwa siku 7, kama utaihitaji sema nikutumie.
 
Vipi kuhusu kimo chako na umri?. Coz ushauri wangu unategemea hayo pia Jinsia nabashiri kuwa ni mwanamke!
 
mtumie boss wake sms ya bonge la tusi halafu mwambie umekosea namba
 
Punguza matumizi ya sukari au vyakula vyenye wanga kwa wingi. Pia usipende kulala muda mrefu. Fanya mazoezi. Ikikulazimu punguza matumizi ya gari ukitoka kazini pendelea kutembea kwa miguu sehemu fupi fupi.
 
Diet hizo ila mazoezi ni muhimu sana kwa matokeo mazuri. [Diet bila mazoezi ni sawa na kuokoka bila kufanya maombi kamwe huwezi mshinda shetani. Kuna hiyo moja inaitwa mauaji unakata kilo 10 kwa siku 7, kama utaihitaji sema nikutumie.
asante ila supu ya kabichi ahaaa ni shiiida
 
Kama una chura wala hakuna haja ya kupungua😉
 

haha usiniue mbavu mie.stress pia unaeza nenepa.mi ninae asienipa stress lakini nimejipunguza mwenyewe kwa hali na mali nilikua na kilo 84 mwaka 2013 nikaanza kufanya diet inaitwa 7day cabbage soup nikapungua 12kg kwa mwezi nikakomaa na kutembea nikawa napungua mdogo mdogo nikaanza kufunga per wk 4days nikila sa 12 basi.bt sometime nakula kawaida nikifunga sana .napendelea kutumia green tea na apple cider so mpk leo nina kg 68.bt hapo katikati nilipotezea kiaina bt now niko serious nitoe kg tano tano nifikie goal la kg 63 au 60 basi namentain.nw nafunga ndo zinaisha fasta na bf kufungu napiga trot na ups nusu saa the nafungua na health food.hayo ni yangu mkuu.si wanaume wote wana stress ungempata wangu ungepelekwa india.haa usikate tamaa hiyo safar inahitaji moyo mana ni ndefu.all the best
 
best hint usipopungua ujue unatatizo...............amka asubuhi kabla ujala chochote kunywa maji ya uvuguvugu glass 2.......changanya na ndimu au limao..............kaa nusu saa kula kifungua chako chepesi ukiweza kula na mboga za majani mengi...............mchana ugari kula usizid ngumi yako naboga za majani nyingii(kula sana majani hayana madhara).........na matunda kwa wingi
...katkat ya mchana na asubuh kama una hisi njaa kula matunda na mbog ya majani(unashauriwa kula hata mara tano kwa siku ila kidogokidogo usijaze tumbo)
.......kunywa maji mengi
VITU VYA KUEPUKA
...usile nyama nyekundu mfano ng'ombe(kula samaki na kuku ila kuku usile ngoz yake
usinywe soda
usile vyakula vya mafuta
tumia sukar kidogo sana kwenye chai yako ikiwezekana tumia asali
kama unatengeneza juic hakikisha hauiweki sukar
MWISHO:fanya mazoez ruka hata kamba kwa dk 5.........nilikuwa na kilo 89 sasa nimebaki na 69
 
Punguza pia kiasi cha juice unachokunywa, unaweza kunywa glass moja asubuhi na moja usiku, mchana ongeza unjwaji wa maji, litre mbili za maji kwa siku kama unaweza.
Wewe mwenyewe kipipa halafu unatoa ushauri mwezako apungue, Unanikumbusha daktari mmoja muhimbili tumbo Lake nene kama tufe halafu anawaambia wenye vitambia wapungue wazee walishindwa kujizuia wakaanza kumcheka
 
miss natafuta kumbe tipwa tipwa sikupendi tena
 
jisalimishe polisi kati kwa kosa la madawa ya kulevya nakuapia kwa madereva utakuwa kama msomali
Wasomali tumekufanya nini hadi utuweke kwenye kundi la wasio wanene?
 
huna mpenzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…