Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mkuu inafaa uhamie jukwaa la mapenzi, hii kazi unaiweza vizuri sana.ahahaa niombe radhi mkuu deo ni namba ingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu inafaa uhamie jukwaa la mapenzi, hii kazi unaiweza vizuri sana.ahahaa niombe radhi mkuu deo ni namba ingine
Ungekuwa upo Dar ningekuelekeza sehemu ukanunue dawa ya kienyeji. Wiki mbili tu ushapunguza hata kilo 10 na zaidi. Nashangaa kuona watu wanahangaika. Tatizo ukishazidiwa ubonge na uzito hata mazoezi huwezi fanya.Natamani sana kupungua nina kg 94 sipungui toka mwaka jana. Sili msosi mkubwa nakunywa majuice sana natengeneza mwenyewe naweka karoti embe, beetroot tangawizi na parachichi nakula na msosi kidogo au sometimes sili kabisa.
Sielewi kwanini sipungui au vile sina mpenzi wa kunipa majanga?
Uzito = 94kgNatamani sana kupungua nina kg 94 sipungui toka mwaka jana. Sili msosi mkubwa nakunywa majuice sana natengeneza mwenyewe naweka karoti embe, beetroot tangawizi na parachichi nakula na msosi kidogo au sometimes sili kabisa.
Sielewi kwanini sipungui au vile sina mpenzi wa kunipa majanga?
Vipi kuhusu kimo chako na umri?. Coz ushauri wangu unategemea hayo pia Jinsia nabashiri kuwa ni mwanamke!Natamani sana kupungua nina kg 94 sipungui toka mwaka jana. Sili msosi mkubwa nakunywa majuice sana natengeneza mwenyewe naweka karoti embe, beetroot tangawizi na parachichi nakula na msosi kidogo au sometimes sili kabisa.
Sielewi kwanini sipungui au vile sina mpenzi wa kunipa majanga?
Punguza matumizi ya sukari au vyakula vyenye wanga kwa wingi. Pia usipende kulala muda mrefu. Fanya mazoezi. Ikikulazimu punguza matumizi ya gari ukitoka kazini pendelea kutembea kwa miguu sehemu fupi fupi.Natamani sana kupungua nina kg 94 sipungui toka mwaka jana. Sili msosi mkubwa nakunywa majuice sana natengeneza mwenyewe naweka karoti embe, beetroot tangawizi na parachichi nakula na msosi kidogo au sometimes sili kabisa.
Sielewi kwanini sipungui au vile sina mpenzi wa kunipa majanga?
asante ila supu ya kabichi ahaaa ni shiiida
Diet hizo ila mazoezi ni muhimu sana kwa matokeo mazuri. [Diet bila mazoezi ni sawa na kuokoka bila kufanya maombi kamwe huwezi mshinda shetani. Kuna hiyo moja inaitwa mauaji unakata kilo 10 kwa siku 7, kama utaihitaji sema nikutumie.![]()
Na mimi nimeelewa ivo ivo,ila naona kaona soo kwenda straight to the pointHili naona tangazo la kutwambia unatafuta mpenzi ila umetumia njia nyingne
Natamani sana kupungua nina kg 94 sipungui toka mwaka jana. Sili msosi mkubwa nakunywa majuice sana natengeneza mwenyewe naweka karoti embe, beetroot tangawizi na parachichi nakula na msosi kidogo au sometimes sili kabisa.
Sielewi kwanini sipungui au vile sina mpenzi wa kunipa majanga?
best hint usipopungua ujue unatatizo...............amka asubuhi kabla ujala chochote kunywa maji ya uvuguvugu glass 2.......changanya na ndimu au limao..............kaa nusu saa kula kifungua chako chepesi ukiweza kula na mboga za majani mengi...............mchana ugari kula usizid ngumi yako naboga za majani nyingii(kula sana majani hayana madhara).........na matunda kwa wingiNatamani sana kupungua nina kg 94 sipungui toka mwaka jana. Sili msosi mkubwa nakunywa majuice sana natengeneza mwenyewe naweka karoti embe, beetroot tangawizi na parachichi nakula na msosi kidogo au sometimes sili kabisa.
Sielewi kwanini sipungui au vile sina mpenzi wa kunipa majanga?
Wewe mwenyewe kipipa halafu unatoa ushauri mwezako apungue, Unanikumbusha daktari mmoja muhimbili tumbo Lake nene kama tufe halafu anawaambia wenye vitambia wapungue wazee walishindwa kujizuia wakaanza kumchekaPunguza pia kiasi cha juice unachokunywa, unaweza kunywa glass moja asubuhi na moja usiku, mchana ongeza unjwaji wa maji, litre mbili za maji kwa siku kama unaweza.
Wasomali tumekufanya nini hadi utuweke kwenye kundi la wasio wanene?jisalimishe polisi kati kwa kosa la madawa ya kulevya nakuapia kwa madereva utakuwa kama msomali
huna mpenzi?Natamani sana kupungua nina kg 94 sipungui toka mwaka jana. Sili msosi mkubwa nakunywa majuice sana natengeneza mwenyewe naweka karoti embe, beetroot tangawizi na parachichi nakula na msosi kidogo au sometimes sili kabisa.
Sielewi kwanini sipungui au vile sina mpenzi wa kunipa majanga?
Anao ndio wanaomfanya anenepa maana anawachuna mno[emoji38][emoji4](natania)huna mpenzi?
duh!Anao ndio wanaomfanya anenepa maana anawachuna mno[emoji38][emoji4](natania)