Nimem-miss Faiza haider, mdada aliekuwa presenter wa EATV kipindi cha 5 selekt

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
2,406
Reaction score
8,039
Habarini,

Huyu mdada alikuwa ana present 5 selekt na tbway 360, miaka ya 2011, huyu mdada alikuwa na muonekano mzuri kweli, na alikuwa ni tv crush wangu kwa kipindi kile πŸ˜πŸ«’πŸ˜…she was veeery beautiful, Yani alivyo muonekano wake k.v pisi ya New York USA, kumbe alizaliwa na kukulia dar

Damn time flies fast.


Wajameni huyu mtu mwajua alipo mwanawane mzabzab Mzee wa kupambania Kapeace Lamomy Madame B Leejay49 Nifah Miss Natafuta DeepPond cocastic The only mrangi Natafuta Ajira Zemanda Mwachiluwi binti kiziwi Atoto
 
Mbona demu mwenyewe ana vidole vibaya 🀣🀣🀣
 
Pole sana, umejaribu kumtafuta Instagram?
Nadhani huko utampata na mta-make ❀️.
 
Mtoa mada kasema hata akiwa kidumu ye kwake shega tu....
Anataka kutembelea rim rough road πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Aisee hilo neno shega umenikumbusha long time miaka ya 1998 hiyo.
Sawa tuu maana mbususu zenyewe full kushare...wacha nae akaonje utamu wa mrembo.
Tena huyo kwa hilo jicho lake akilirembua wakati utam kolea sii hatari
 
Mbona kawa wa kawaida sana ,kipindi kile alikuwa kama shombe shombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…