Umeshanunua au kusoma kitabu chake hadi leo...kama hujasoma ulichoandika ni uwongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akiweka kwenye kaburi la babu yake mashada ya maua au akijenga kaburi la babu yake hataandikwa na vyombo vya habari lkn akiweka mashada ya maua kwenye kaburi la Xmengi ataandikwa magazetini. So ni swala la sifa tu.Non sense!!Ukaweke maua kwa mengi? Ukute kaburi la babu yako hata kujengewa halijajengewa!.. au kwa kuwa alikufa masikini haja ku inspire??
Kama wiki hvi nimepita kwenye kaburi lake daa maisha....Kama mimi ninavyomiss Masogange. Mungu bhana, yaani kamchukua Masogange akatuletea Amber Rutty, kweli maisha yanazidi kuwa magumu Tanzania.
Watu nilio wamiss Mwalim Julius Nyerere,Amina Chifupa,Regnal Mengi,Nelson Mandela ,Ndg Mtikila,Michael Jackson,Witney Huston,Aaliyah,2pak Shakour, Luck dube,dah siri ya Kifo aijuaye maulana nawamiss sana hawa
Dahhh....Ni miezi 7 sasa tangu huyu mtanzania mwenzetu afariki, sio ndugu yangu, hajawahi kunipa hata shillingi tano, na wala sijawahi kuonana nae uso kwa uso, ila maisha yake yameni-inspire sana, sio siri kifo chake kilinihuzunisha sana, nitatafuta siku walau nikaweke maua kwenye kaburi lake.
RIP Mr. Mengi