Nimem-miss Reginald Mengi

Nimem-miss Reginald Mengi

Non sense!!Ukaweke maua kwa mengi? Ukute kaburi la babu yako hata kujengewa halijajengewa!.. au kwa kuwa alikufa masikini haja ku inspire??
Akiweka kwenye kaburi la babu yake mashada ya maua au akijenga kaburi la babu yake hataandikwa na vyombo vya habari lkn akiweka mashada ya maua kwenye kaburi la Xmengi ataandikwa magazetini. So ni swala la sifa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni miezi 7 sasa tangu huyu mtanzania mwenzetu afariki, sio ndugu yangu, hajawahi kunipa hata shillingi tano, na wala sijawahi kuonana nae uso kwa uso, ila maisha yake yameni-inspire sana, sio siri kifo chake kilinihuzunisha sana, nitatafuta siku walau nikaweke maua kwenye kaburi lake.

RIP Mr. Mengi
Dahhh....
Mkuu, umenifanya nimewaza mbali sana aiseeeee...
Ila basi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom