Nimemaliza chuo Jana, huu ndio mtaji wangu...

Unanitisha!!
Sikutishi ila unatakiwa uwe teyari utapitia vipindi vigumu sana na pengine hujawahi kupitia hapo kabla kwenye maisha yako maana sasa unaingia kupambana na reality ya maisha yako kuvuka stage uliyonayo na kwenda stage nyingine hasa ya kiuchumi sio masikhara inaweza kukuchukua muda sana ukabaki na uzuni utatengwa na rafiki hadi ndugu zako wa tumbo moja watakugeuka once umejipata watarudi kwa speed ya radi..

Haya ninayokwambia ni kweli Unless uwe unatokea maisha bora
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mkuu hi seriously kama upo dar nambie chap nikuunge na huu mchongo
 
Pesa sio issue kwakuwa Even if you could a lot of money bado mambo hubadilika Ila fikiria how to use skills in making life and money .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…