Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
- Thread starter
-
- #21
Sahihi kila kitu ni mindset skills na effective displinePesa sio issue kwakuwa Even if you could a lot of money bado mambo hubadilika Ila fikiria how to use skills in making life and money .
Ngoja upigike uuze hadi simuAmaa kweli kuwa uyaone...
Huu ndio mtaji wangu ambao utabadilisha maisha Yangu.
Hii ni elfu Saba za kitanzania
Nipeni mbinu za kukuza mtaji wangu wakuuView attachment 3393665
Unaweza tumia computerMkuu nipo dar niunge ndugu yangu Mungu atakulipa kwa kuniinua Mimi bro
Hio pesa nyingi sana.
Maisha sio mtaji au connection but ni akili yako.
Huo msingi tosha wa kuuzia karanga anza na kilo moja
Ndio naweza, nilisoma VETA computer applicationUnaweza tumia computer
Daah hii simu yenyewe ya mkopoNgoja upigike uuze hadi simu
UDOM kila mtu hufaulu hata wajinga walio unga ungaMkuu matokeo bado ni mpaka mwezi wa tisa
asingebaki na afsaba mkuu hao wamebaki na kama dola mia tano bank na mfkon laki mbili kwenye simu milion na mkononi wana ticket kwenda sauz kupumzika kabla hawajaanza kudraivu uelekeo wa kampuni za mshua kupata training fupi washike madaraka wawe wanalipwa m3 huku wakiwa na apatimenti zao near town,,,uyu mwenzangu namie jembe linamwita huku mlangali aje achomeke na jua kwelikweliuwe unatokea maisha bora
Poa upo dsm sehemu ganiDa
Ndio naweza, nilisoma VETA computer application
Naweza kutumia
Microsoft word
Microsoft excel
Microsoft publisher na power point.
Mengine naweza kujifunza u-tube ili kuongeza ufanisi na uzoefu Zaidi.
Kama ipo ndani ya uwezo wako naomba unisaidie mkuu
Acha utoto πππSi ndio nyie mlikuwa mnasema October mnatiki?haya tusubiri oktobq
Hiyo pesa itumie yote Huwa huna hata shilingi Moja alafu ndio uanzie hapoAmaa kweli kuwa uyaone...
Huu ndio mtaji wangu ambao utabadilisha maisha Yangu.
Hii ni elfu Saba za kitanzania
Nipeni mbinu za kukuza mtaji wangu wakuuView attachment 3393665
Sasa mkuu mpaka anafika ferry iyo elfu 7 si inaishia kwenye nauli?Hebu nunua chipsi yai ule na pepsi baridi.....
Baada ya apo kesho asubuhi wahi viwandani
Mbinu nyingine kajumue samaki wa 5000 wabichi ferry tafuta eneo limechangamka panga wakiwa wamekaangwa ukosi ten safari ianzie apo ...
ππππunadhani utoto?walivyokuwa wanapewa boom walikuwa hawatuelewi wenzao tunavyokula rhumbaAcha utoto πππ
Kuuza chenji hiyo hela haitoshiππππππ mkuu hi seriously kama upo dar nambie chap nikuunge na huu mchongo
Apo ni mdogo mdogo anaamka saa kumiSasa mkuu mpaka anafika ferry iyo elfu 7 si inaishia kwenye nauli?
Ha ha ha..Si ndio nyie mlikuwa mnasema October mnatiki?haya tusubiri oktobq
KigamboniPoa upo dsm sehemu gani