DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
Kama wewe ni mwanamke basi ni wife material... hayo madude ni kipengele ndo maana mademu wengine wanaamua bora wadange tu.Na sana sana kwenye hiyo DT ajifunze pia articulated DT, excavator pia ni nzuri zaidi kwa mazingira ya kufanya kazi haichoshi kama DT, ila.....hakuna chuo cha DT labda aende veta shinyanga wale wanakuwaga na ushirikiano na MWADUI wanapeleka wanafunzi wao pale field ndo wanajifunzia DUMP TRUCK mbali na hapo ajichanganye migodini kwa kazi yoyote ili apate fursa ya kujifunza machine hizo. Machines zingine nzuri anaweza akafanya nchi zingine hadi huko UAE anapotaka ni jumbo machine za underground
Machines nyingi hazitumii nguvu kama wanawake wengi wanavyodhani, inatumika tu uelewa, kwa mfano DT, ni machine ya kawaida japo haitaki uitumie muda mreeefu sana, inaumiza mgongo, excavator haina hekaheka inafanya kazi muda mrefu sehemu moja inaswing tu, cage operator nayo haina issue sana ni kufuata tu SOP, yaan kiujumla machines nyingi mwanamke anafanya kuna zile rockbreaker pia ni nzuri kwa mwanamkeKama wewe ni mwanamke basi ni wife material... hayo madude ni kipengele ndo maana mademu wengine wanaamua bora wadange tu.
Fanya kazi unayoipenda kama kwenu hela zipo. Kama hela hakuna fanya yenye maslahi.Brother udereva wa malori kwa mtazamo wangu inaanza na love then maslahi baadae ila ukiwa na fikra za maslahi utakuwa disappointed sana
Siyo kweli. Unazungumzia udereva wa zamani sana mkuu.Brother udereva wa malori kwa mtazamo wangu inaanza na love then maslahi baadae ila ukiwa na fikra za maslahi utakuwa disappointed sana
Rockbreaker mwanamke utamuua bure asee.Kelele za pale na vumbi sidhani mwanamke kama anatoboa pale.DT zenyewe za underground madem huwa zinawapa shida maana njia za chini changamoto sana.Kiufupi mining mwanamke ni kuforce tuMachines nyingi hazitumii nguvu kama wanawake wengi wanavyodhani, inatumika tu uelewa, kwa mfano DT, ni machine ya kawaida japo haitaki uitumie muda mreeefu sana, inaumiza mgongo, excavator haina hekaheka inafanya kazi muda mrefu sehemu moja inaswing tu, cage operator nayo haina issue sana ni kufuata tu SOP, yaan kiujumla machines nyingi mwanamke anafanya kuna zile rockbreaker pia ni nzuri kwa mwanamke
Labda kwa nchi za wenzetu sipingi ila bongo DSM ni kampuni chache zinazojali maslahi ya maderevaSiyo kweli. Unazungumzia udereva wa zamani sana mkuu.
Sikuizi mambo ni digital ukijifunza unaweza fanya kazi popote duniani