Nimemaliza form 4 mwaka jana nimepata Division 2, msaada wa chuo

Nimemaliza form 4 mwaka jana nimepata Division 2, msaada wa chuo

45YY

Member
Joined
Jun 24, 2025
Posts
24
Reaction score
19
Nilipata Chem C, Bios C, Phy D, Math D.

Chuo cha tanzanian training centre for international health kilicho Ifakara ni kizuri kwa koz ya clinical optometry level NTA 4 TO 6
 
Inaonekana Halmashauri ya Ifakara kwa sasa imefunguka sana. Ngoja nije kufanya uwekezaji wa maparachichi huko.
 
Back
Top Bottom