Nimemaliza form 4 naombeni ushauri?

Nimemaliza 4m4 mwaka jana na malengo yangu natamani niwe nafanya kaz benki kwa hyo nisomee nini ili niweze kupata kazi benki?
kama kweli umemaliza form 4 mwaka jana it means ulijiunga JF form THREE mwezi wa saba kipindi ambacho nijiavyo mimi ndo game ya olevel huwa iankuwaimekolea...no wonder why ulipata four ya 28........na kwa majibu yako toka mwanzo mwa thread inaonekana una masikhara.....maisha hayaendi hivo dogo..........rekebika
 
zipo kazi nyingi hata kufagia unaweza kupata so jaribu utapata kazi benki,tafta akampuni ya usafi yanayotumiwa na mabenki wanaweza kukuajiri na ww ukaonje AC za benki
 
Dogo hebu check certificate ya banking and finance pale iFM then baadae diploma na degree ya hii course malengo yatatimia usijali dogo..

Ahsante naona wengine wananikatisha tamaa
 

madogo cku iz 4M THREE, wanajiita FORM FREE,
yan hawapo makn kabsa na maisha,
kwa system hii MaMa NDALICHAKO
Atazid Wameza 2!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…