Mbwiga88
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 642
- 142
kama kweli umemaliza form 4 mwaka jana it means ulijiunga JF form THREE mwezi wa saba kipindi ambacho nijiavyo mimi ndo game ya olevel huwa iankuwaimekolea...no wonder why ulipata four ya 28........na kwa majibu yako toka mwanzo mwa thread inaonekana una masikhara.....maisha hayaendi hivo dogo..........rekebikaNimemaliza 4m4 mwaka jana na malengo yangu natamani niwe nafanya kaz benki kwa hyo nisomee nini ili niweze kupata kazi benki?