nyakahanga
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 240
- 65
Kumbe!! baadhi ya Watanzania wana sirika za majungu instead of discussing issues that leads to tangible development. Wenzetu wakenya wapo juu kwa kila jambo ikiwemo ustaraabu. Kumbe!! ndio maana hata bunge la katiba limejaa watu wa aina hii ambao hawajari mustakabari wa nchi yetu. Naendelea kujifunza!!
"Issues that lead" instead of "issues that leads"