Nimemaliza Kidato cha Nne. Natamani kuwa Hakimu

Nimemaliza Kidato cha Nne. Natamani kuwa Hakimu

KIBESENI

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
360
Reaction score
351
Salaam wajuzi wa mambo.

Nimemaliza kidato cha nne, nina kiswahili C, English C, chemst D, biology C. mengine nimefeli yaani F.

Lakini natamani kuwa hakimu, naomba kuuliza kwa ufaulu huu naweza kusomea sheria niwe hakimu, na kunakuwaga na chuo cha mahakimu kweli, na sifa zakujiunga na chuo hicho ni zipi? tafadhari help me!
 
Chuo cha Mahakimu? Ngoja mahakimu waje kukupa muongozo
 
Salaam wajuzi wa mambo.

Nimemaliza kidato cha nne, nina kiswahilic, English c, chemst d, biology c. mengine nimefeli yaani F.

Lakini natamani kuwa hakimu, naomba kuuliza kwa uufaulu huu naweza kusomea sheria niwe hakimu, na kunakuwaga na chuo cha mahakimu kweli, na sifa zakujiunga na chuo hicho ni zipi? tafadhari help me!
Kwa ufaulu huo utaenda form 5 na hatimaye form 6. Hivyo kwa kombi YOYOTE narudia,yoyote...(hata PCB)maadamu umefaulu vizuri sana (Div 1 nzuri)unaweza kusoma sheria. Hakimu siku hz ana degree.Wenye diploma wanaishia. Nafasi za uhakimu hutangazwa. Sifa huzingatiwa.
 
Back
Top Bottom