Nimemaliza kupiga plasta. Ushauri

Septic tayar,nimehamia tayari mkuu
 
Ushauri wangu ili kupunguza gharama unaweza kuachana na skiming kama fundi alikupigia plasta vizuri


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
ushauri matata sana Asante Mkuu. Ukumbuke umeme nimeweka chumba kimoja tu na chooni
 
Ndio muelewe kuwa gari ni muhimu kuliko nyumba. Tuliomba jukwaa la magari mara moja likaanzishwa sasa hivi limechangamka balaa.
Baada ya kumaliza kajumbakangu nipate gari mkuu, nipe link
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…