Nimemaliza kupiga plasta. Ushauri

Nimemaliza kupiga plasta. Ushauri

Septic tayar,nimehamia tayari mkuu
Kama huna haraka ya kuingia hapo ndani nakushauri fuata Brandering, weka ceiling board (Gypsum ceiling kama utapendelea ikifuatiwa na frem za milango na madirisha kisha fanya Skimming kwenye Ceiling na kuta za ndani, ikifuatiwa na Floor (Tiles) alafu ndiyo uweke milango (Shutter) ukimaliza amia nje

Kama una haraka ya kuzama ndani basi weka madirisha na milango, fuata floor alafu ceiling utaweka baadaye na kisha fuata utaratibu huo hapo juu
 
Ushauri wangu ili kupunguza gharama unaweza kuachana na skiming kama fundi alikupigia plasta vizuri

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama huna haraka ya kuingia hapo ndani nakushauri fuata Brandering, weka ceiling board (Gypsum ceiling kama utapendelea ikifuatiwa na frem za milango na madirisha kisha fanya Skimming kwenye Ceiling na kuta za ndani, ikifuatiwa na Floor (Tiles) alafu ndiyo uweke milango (Shutter) ukimaliza amia nje

Kama una haraka ya kuzama ndani basi weka madirisha na milango, fuata floor alafu ceiling utaweka baadaye na kisha fuata utaratibu huo hapo juu
ushauri matata sana Asante Mkuu. Ukumbuke umeme nimeweka chumba kimoja tu na chooni
 
Ndio muelewe kuwa gari ni muhimu kuliko nyumba. Tuliomba jukwaa la magari mara moja likaanzishwa sasa hivi limechangamka balaa.
Baada ya kumaliza kajumbakangu nipate gari mkuu, nipe link
 
Back
Top Bottom