kibongoto mbona mie nashindwa kukuamini 🙂
Vipi wkend yako imeendaje lakini? Huamini nini 1st lady? Unamtazamo gani sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kibongoto mbona mie nashindwa kukuamini 🙂
kibongoto mbona mie nashindwa kukuamini 🙂
Vipi wkend yako imeendaje lakini? Huamini nini 1st lady? Unamtazamo gani sasa?
Hiyo weekend yako ni kama hujaenjoy vile ,Jmos ulikuwa ndani ya ofisi sijui uliondoka na parachute na kuingia jijini huo mchana
Jtatu asubuhi ndani ya majukumu ..hope umeenjoy 40/100 % 😀
Hapana 1stlady, niliingia mujini Ijumaa jioni. Nikakaa kwa hoteli nikaondoka J.pili mchana fulani,korogwe pale nikachonga dakika kazaa(misosi) then nikaingia Moshi usiku. Leo napiga job lady,pls niamini.
Ushindwe!!! kuiga gani huko? arghhh!!!
[B said:Kibongoto[/B];595769]Wewe sio lazima uje kwangu. Nimesema atakaeenda mkoani atafute wanaJF wampe mwelekeo. Sio lazima uwe mkoa nilioko na wala sio lazima uwe wewe. Acha kushika kwenye makali,kamata kwenye mshikio mkuu. Karibu Moshi town.
kibongoto mbona mie nashindwa kukuamini 🙂
ckuitegemea hii mami, nimecheka sana! una mambo wewe.
Firstlady..kwani hakukuPM?🙄
WanaJF asanteni sana kwa maelekezo yenu yaliyopelekea wkend yangu mjini hapa kuwa bomba. Asante Pretty kwa kile kiwanja ulichonilengesha jana. Nimekikubali haswa! Nanyi ikitokea mmekuja mkoani tutafuteni wanaJF tuwape mwelekeo. Big up,long live JF!
keep well
Kibongoto hilo jina huwa ni Kibong'oto najua kabisa unapenda kulitumia lakini umelikosea weka hiyo apostrophe tuende sawa.
Hapana 1stlady, niliingia mujini Ijumaa jioni. Nikakaa kwa hoteli nikaondoka J.pili mchana fulani,korogwe pale nikachonga dakika kazaa(misosi) then nikaingia Moshi usiku. Leo napiga job lady,pls niamini.
Ushindwe!!! kuiga gani huko? arghhh!!!
teh teh kuna visa humuwatu mnapigana mabao hapahapa!kweli jf si mchezo yaani hapa mbavu zinauma kwa kuchekaNilitaka kuona kama kweli upo job au unacheki news tu hapo ofisini kwenyewe. Walewale,kujitangazia mpo bize kumbe????
mshamba kaoneshwa mji kafurahi mpaka jino la mwisho.
next time unistue unapokuja town nikupeleke ukatalii mbagala kuona ruins na live volcano