Nimemblock baada ya kugundua ni chawa

Nimemblock baada ya kugundua ni chawa

Nimekuwa nikidate na mkaka mmoja kwa mda wa mwezi, asa jana nikasema ngojea nimpeleleze maana alinitia shaka ana point nyepesi nyepesi mlugaluga. Hakuna mtu anataka kudate mwanaume kama zezeta. Nikaingia mzigoni kwenye social media, lahaullah!! Nilichokiona uko kimenishangaza. Kumbe kaka ni chawa wa mama Samia, masaa 24 yupo online kutetea upuuzi na point zake nyepesi nyepesi.

Nilivyoona hivyo sijataka kusikia kutoka kwake nikamblock kwenye simu, whatsapp na sehemu zote. Sitaki ujinga. Ndo maana yupo kama zezete kumbe chawa!!
Kikubwa alikukula
 
khaah,,bora wanawake kujifanya wanaume ila sio wanaume kujifanya wanawake
Waambie hao na tabia za kuchokolewa mpaka Bungeni wanapigia kelele waache madume dada hayasikii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiii khaaaah!!!
 
Back
Top Bottom