kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Iko hivi..
Wakati niko na mahusiano na huyu bibie,nilijua alikua na mahusiano mengine na wanaume kama wawili hivi.
So baada ya muda me nikaamua kupita hivi na Mia then tukabaki kama washkaji ingawa nilikua bado namega kisela.
So ili kumfanya nae awe na mahusiano ya kueleweka nikamshauri aoelewe na mmoja wa miongoni mwa wale waliokua nae enzi na mimi niko nae..akaridhia.
Leo nimehudhuria harusi yao.
Nimefarijika sana kuona yule dogo kamuoa huyu manzi na mimi ntaendelea kuwa mchepuko wa huyu manzi wa muda wote coz ni asubuhi tu hapa kaja ghetto kanionjesha kimoja cha fasta ndio akaende saluni kurembwa.