Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza dhani story kumbe ndio yanayotokea in real life.Iko hivi..
Wakati niko na mahusiano na huyu bibie,nilijua alikua na mahusiano mengine na wanaume kama wawili hivi.
So baada ya muda me nikaamua kupita hivi na Mia then tukabaki kama washkaji ingawa nilikua bado namega kisela.
So ili kumfanya nae awe na mahusiano ya kueleweka nikamshauri aoelewe na mmoja wa miongoni mwa wale waliokua nae enzi na mimi niko nae..akaridhia..
Leo nimehudhuria harusi yao.
Nimefarijika sana kuona yule dogo kamuoa huyu manzi na mimi ntaendelea kuwa mchepuko wa huyu manzi wa muda wote coz ni asubuhi tu hapa kaja ghetto kanionjesha kimoja cha fasta ndio akaende saluni kurembwa.
😀😀 hii ni miongoni mwa ajenda iliyokuwepo kwenye mkutano mkuu wa kataa ndoa ili kuwakata wenge wanaoshabikia ndoa, sasa hapa kila mmoja ambaye ana harusi anawaza kama ni mkewe mtarajiwa ndiyo kaliwa kabla ya kwenda saluniIko hivi..
Wakati niko na mahusiano na huyu bibie,nilijua alikua na mahusiano mengine na wanaume kama wawili hivi.
So baada ya muda me nikaamua kupita hivi na Mia then tukabaki kama washkaji ingawa nilikua bado namega kisela.
So ili kumfanya nae awe na mahusiano ya kueleweka nikamshauri aoelewe na mmoja wa miongoni mwa wale waliokua nae enzi na mimi niko nae..akaridhia..
Leo nimehudhuria harusi yao.
Nimefarijika sana kuona yule dogo kamuoa huyu manzi na mimi ntaendelea kuwa mchepuko wa huyu manzi wa muda wote coz ni asubuhi tu hapa kaja ghetto kanionjesha kimoja cha fasta ndio akaende saluni kurembwa.
Mh🤔🤔🤔😁Naambiwaga shetani yupo nakuwa mbishi lakini Kwa hii post .........EBU ONA AIBU BASI KIDOGO.