Ongezea wahaya,wamachame, wameru na wazaramo[emoji4]Huko ni kama wanyakyusa tu, wanawezana wao kwa wao.
Pole sana. Kabla hujamuoa ulivutiwa na tako, sura au umbo?Aisee hii mindset ya kusema kabila fulani ni mzuri halafu kabila lingine ni mbaya ni kitu kubaya sana aisee asikuambie mtu wakuu na unatakiwa kuindoa hiyo mindaet kabisa
Miezi kadhaa nilimchumbia binti mmoja wa kabila la kanda ya ziwa mkoa wa simiyu yeye ni mkristo( msabato)mie ni ni mlokole hopefully kuweza kumbadilisha dini.yake aisee nilichokuja kukutana nae najuta kabisa na mbaya zaidi nilitoa mahari milioni kadhaa aisee
Binti ana hasira,mbabe na sometime ni mvivu kitu ambacho sikukitegemea, yaani kwasasa nimemchoka natamani nimpige chini ila nashindwa nianzie wapi na wazazi wake niwaambie nini?
Ushauri wa hovyo kabisa huu. Asipoondoka je?Anza kuchepuka,
Kisha Simu ondoa password
Nakuhakikishia atakimbia mwnyw[emoji4]
Kama siyo mjita ni bahati, maana kanda ya ziwa kwa ubishi wajita wanaongoza yaani ata kuoana wanaoana wao kwa wao.Aisee hii mindset ya kusema kabila fulani ni mzuri halafu kabila lingine ni mbaya ni kitu kubaya sana aisee asikuambie mtu wakuu na unatakiwa kuindoa hiyo mindaet kabisa
Miezi kadhaa nilimchumbia binti mmoja wa kabila la kanda ya ziwa mkoa wa simiyu yeye ni Mkristo (Msabato) mie ni ni mlokole hopefully kuweza kumbadilisha dini yake aisee nilichokuja kukutana nae najuta kabisa na mbaya zaidi nilitoa mahari milioni kadhaa aisee
Binti ana hasira,mbabe na sometime ni mvivu kitu ambacho sikukitegemea, yaani kwasasa nimemchoka natamani nimpige chini ila nashindwa nianzie wapi na wazazi wake niwaambie nini?
Atamuua. Hujasikia ni mbabe na ana hasira?Anza kuchepuka,
Kisha Simu ondoa password
Nakuhakikishia atakimbia mwnyw[emoji4]
Basi ahame nyumba,amuachie kila kituAtamuua. Hujasikia ni mbabe na ana hasira?