DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Kila missionUshauri wa hovyo kabisa huu. Asipoondoka je?
Mwanaume lazima uwe na plan B[emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila missionUshauri wa hovyo kabisa huu. Asipoondoka je?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Unapogundua umepitiliza kituo cha kushukia, shukia hapo hapo, usiache ufike Mbali zaid
Elezea Wahaya, ni muhimu sanaOngezea wahaya,wamachame, wameru na wazaramo[emoji4]
Kama sio mpenz wa K zenye maji maji na huwez kummwaga maji, atakucheat na mhaya mwenzake anaeweza Ayo mambo.Elezea Wahaya, ni muhimu sana
We ni mlokole gani kutaka kumpiga Binti wa watu chini?Aisee hii mindset ya kusema kabila fulani ni mzuri halafu kabila lingine ni mbaya ni kitu kubaya sana aisee asikuambie mtu wakuu na unatakiwa kuindoa hiyo mindaet kabisa
Miezi kadhaa nilimchumbia binti mmoja wa kabila la kanda ya ziwa mkoa wa simiyu yeye ni Mkristo (Msabato) mie ni ni mlokole hopefully kuweza kumbadilisha dini yake aisee nilichokuja kukutana nae najuta kabisa na mbaya zaidi nilitoa mahari milioni kadhaa aisee
Binti ana hasira,mbabe na sometime ni mvivu kitu ambacho sikukitegemea, yaani kwasasa nimemchoka natamani nimpige chini ila nashindwa nianzie wapi na wazazi wake niwaambie nini?
Umemisika mkuuDuh aiseee
Umemisika mkuu