Nimemchoka mwanaume huyu lakini nampenda nifanyeje?


pole sana Nyambura natamani ungekua mpenzi wangu,iyo nasema kutnkana na maelezo yako apo juu,pole ila muombe sana na mungu atakusaidia,me nimekupenda kulingana na ukweli uliousema,uko wap?
 
pole sana Nyambura natamani ungekua mpenzi wangu,iyo nasema kutnkana na maelezo yako apo juu,pole ila muombe sana na mungu atakusaidia,me nimekupenda kulingana na ukweli uliousema,uko wap?


dsm
thax
 
I bet 'll strongly side wit my friends who've said chapa mwendo. Dadangu, nyota njema uonekana asubuhi. U got a wrong man altogether. Remember mda haurudi nyuma. Majuto mjukuu. There's no guarantee ya kubadilika. Life's too short 2 live is regret & misery.
 
When you truly care for someone,
you don't look for faults,
you don't look for answers,
you don't look for mistakes,
instead you fight the mistakes,
you accept the faults,
and you overlook the excuses.
 
inshu hapo sio pombe inshu ni kwamba mchzi hana mapendo na wewe ndo maana anakuthamin akiwa hana kitu. Wakati wewe unajipanga kumbadilisha yeye anajipanga apate mkwanjwa zaid akukimbie. Ol in ol mapenz huendana na tabia mptezee atapata mlevi mwenzie
 
Pole Mdada;
Kati ya matatizo yaliyo kwa wapenzi/wanandoa lako ni dogo mno, yapo matatizo critical ambayo ukisimuliwa utaona lako ni kiduchu.
Nikupe mfano mdogo sana, baadhi ya posts za members zinadai umwage huyo mshikaji, mimi kwa mtazamo wangu naona bado unayo nafasi ya kumsaidia huyo BF wako kama kweli unampenda kwa dhati.

Kwa mtazamo wangu ni bora kum-maintain aliyeko kuliko usiyejua atakuja lini na nini tabia zake, Je ukipata kikojozi utathubutu kuweka hata thread hapa Dada yangu, ukipata wale penda penda nao itakuwaje, mimi nadhani give him a room na uoneshe wazi kuwa hiyo tabia ya ulezi huridhiki nayo hata kidogo, vaa sura ya mbuzi kwenye kulalama juu ya hilo na uoneshe kuwa hutavumilia kinachofuata ni kibuti kama hatajirekebisha.

Pole sana.
 

Kwani wewe ulimpendea nini huyo jamaa?
 

Dada pole sana kwa yote haya. Mimi naongea kama mtaalam wa mambo ya ndoa na mahusiano huu uhusiano wako ni sensitive and exceptional. Mara nyingi wanaume wanajiheshimu sana kabla ya ndoa na UUPUUZI wetu huwa ni baada ya ndoa. Kwa hayo maelezo yako dada huko siyo kwa kwenda. Ni kweli kuwa mmetoka mbali na UNAMPENDA lakini mimi sioni future yoyote pale. Kwa tabia aliyonayo na hiyo KAZI aliyochagua tunatemea mambo yawe mabaya zaidi. Hiyo aina ya kazi huyo ni ngumu kidogo ku-deal nayo ingawa si wote wako hivyo. Katika maisha kuna mambo matatu ya kuchagua: 1. Elimu, 2. Dini na 3. Ndoa. Hayo mengine umeshachagua (inawezekana umepatia au la) ila hili la NDOA HUU NDIYO WAKATI wake. Chagua kitakachokufaa kwa miaka mingi ijayo. Kwa umri wako tunazungumzia kupata kuwa na ndoa yenye raha au dhiki kwa miaka 30-40 ijayo. Utajuta sana, utaokoka sana lakini FINALLY UTAISHI KWA SHIDA. Kwa kuwa umepata AKILI ya kugundua kuwa kuna tatizo basi fanya UAMUZI SAHIHI. Lakini pia inategemea sana LEVEL YAKO YA KUVUMILIA. Kama iko juu basi mpende na uvumilie yote haya.
 

Usijaribu kumbadili mtu ambaye wazazi wake wameshindwa kumbadili kwa miaka lukuki. Cha kujiuliza ni Je, mnapendana kiasi cha kuweza kuishi pamoja for the rest of your joint lives? Kwa maelezo yako inaonesha hampendani kiasi hicho, maana wewe unaona akikuomba pesa ni kero na kwamba kwa kuwa hajawahi kukupa pesa unaona hilo ni tatizo, inawezekana umemzidi kipato lakini pia matumizi ya wanaume mara nyingi ni makubwa kuliko ya akina dada. Yote kwa yote sikiliza moyo wako unasema nini. Kitendo cha kusita pia ni dalili nyingine muhimu kwamba uhusiano wenu ni vigumu kufika mbali.
 




ananizid kipato
 
Pole sana lakini kuhusu kukuomba nauli kwakuwa ni Mjeshi basi uwe unamwambia avae magwanda na kupanda basi bure,lakini "sikiliza moyo wako zaidi kuliko kichwa chako kwakuwa mapenzi hayashauriki"kwani unaweza kumpata mwingine akawa ana matatatizo zaidi ya huyo jamaa yako wa sasa.....sasa tuliza moyo wako then make a wise decision wewe mwenyewe........:mmph:...kama unampenda just give him much time,,,:A S clock::A S clock::A S clock:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…